Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

yaramazlik

Senior Member
Apr 7, 2012
112
250
Fanya utafiti juu ya hili vumbi la Congo, utakuta kuwa inawezekana kabisa humo wanachanganya na madawa ya kulevya hasa cocaine!! Huwa hawasemi contents zake hivyo nisingeshauri kulitumia kwani most likely ni addictive; ukishazoea huwezi kacha utakuwa umenasa kama teja!!! Tumia vitu vya asili kama ulivyoshauliwa hapo juu.
Acha ujinga na kutisha watu wewe. Vumbi la congo bei ni 5000 hadi 10000. Unajua bei ya gram 1 ya cocaine au heroine wewe? Yani mtu achanganye madawa hayo halafu still uuziwe bei rahisi. Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)
N.B: mtumiaji mzoefu wa vumbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
452
500
Halafu nasikia kuna vicks pia ya kutoka kongo, hii nayo ikoje wakuu

Stay home, stay safe
Corona kills
 

Bulesi

JF-Expert Member
May 14, 2008
7,886
2,000
Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)
N.B: mtumiaji mzoefu wa vumbi
Wewe uko hapa kutangaza biashara yako na nakuombea ushindwe kwenye hii biashara na ulegee kabisa!!! Nenda kalime vitunguu upate hela badala ya kuwauzia wajinga unga wa muhogo eti vumbi la Congo!!! Niye matapeli tu mnataka kuwahadaa watu wajinga!!
 

ngulukizi

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
225
1,000
Mimi nilishawahi tumia vicks ya kongo na vumbi kwa namna moja ama nyingi hivi kama ni mkeo huwezi ona raaha ya tendo la ndoa kwa kweli mana kwanza uume unakufa ganzi kiasi kwamba ww mpk upate golu moja huwa mtihani sana
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,375
2,000
Asante mkuu nimekuelewa. Kwa maoni mengi humu yaliyotolewq kwa kweli siwezi kujaribu mkongo ngoja nifanye tafiti zingine tu naamini hakuna linaloshindikana...
Mkuu mimi sioni suluhisho jengine Zaidi ya congo kiupande wangu, nishajaribu dawa zisizo na idadi kabisa
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,375
2,000
Acha ujinga na kutisha watu wewe. Vumbi la congo bei ni 5000 hadi 10000. Unajua bei ya gram 1 ya cocaine au heroine wewe? Yani mtu achanganye madawa hayo halafu still uuziwe bei rahisi. Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)
N.B: mtumiaji mzoefu wa vumbi

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu naomba kujua kipimo cha upakaji?

Na lapilli upakaji wake ni eneo la kichwa, sasa chini ya kichwa je pia panapakwa au hapana?
 

Suchack

Senior Member
May 11, 2020
122
250
mkuu naomba kujua kipimo cha upakaji?

Na lapilli upakaji wake ni eneo la kichwa, sasa chini ya kichwa je pia panapakwa au hapana?
Paka kidogo tu eneo la kichwa then funika/funga na mfuko wa plastic (Rambo)kwa muda wa masaa 2 au kadri utakavyo ona wewe.Angalizo hii kitu ipake ukiwa na uhakika wa papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,353
2,000
Kwanza wakuu poleni na matatizo yanayowakumba. Naomba na mimi nichukue fursa hii kueleza yangu. Labda wataalamu wanaweza nisaidia.

Ukweli mimi nina shida ya kuchelewa sana kumaliza tendo muda fulani simalizi kabisa kifupi nadhani uume wangu hauko sensitive kabisa.

Nilijaribu ku Google nikaona shida inaitwa delayed ejaculation na kutokana na yale maandiko hii shida ni nadra sana yaani inawapata wanaume wachache na mpaka sasa hakuna dawa wala tiba yoyote ile. Muda fulan mpaka natamani na mimi niwe hata namaliza hizo dk 3 kiukweli basi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bwana Misitu

Senior Member
Apr 20, 2020
116
250
Kwanza wakuu poleni na matatizo yanayowakumba. Naomba na mimi nichukue fursa hii kueleza yangu. Labda wataalamu wanaweza nisaidia.

Ukweli mimi nina shida ya kuchelewa sana kumaliza tendo muda fulani simalizi kabisa kifupi nadhani uume wangu hauko sensitive kabisa...
Dah sasa mimi ningekuwa kama wewe si ningeshukuru mkuu!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom