Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Mkuu, hapo wananchi wa kawaida, labda pia ukiwemo wewe( no offense intended) kuna kitu hawakielewi, Lile jengo sio la TANESCO, TANESCO ni mpangaji tu, ni mtanzania mwenzetu, ambaye amejichanga, tena inawezekana kwa njia halali kabisa akaamua kuwekeza pale, sasa lina vunjwa, sipingi, ila je, amefikiriwa angalau fidia?Mimi nampendea Magu hapo tu!!
