Tuandamane Aisee! Ubungo Tanesco Isivunjwe...

Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Mtoa mada pole sana kwanza kwa hizo comment. Zipitie na utoe ufafanuzi wa hizo comments zao waliokujibu.
 
Inaonyesha ni jinsi gani hatuko critical on thinking, uharibifu na hasara za Kimara ,Mbezi hampigi hesabu km hizi za bilioni 60,bilioni 60,umezipataje.

Kimara,Mbezi kulikuwa na Majengo ya biashara,makazi na Majengo ya kijamii km makanisa na misikiti,masoko nk,ajira zimepotea,Mali zimepotea,ndoto zimepotea na zaidi ajira mtambuka zimezimika,hata kodi na ushuru mbalimbali hazitapatikana tena.

Km jengo linavunjwa kwa mujibu wa sheria,livunjwe,Maendeleo yana gharama zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom