Tuandamane Aisee! Ubungo Tanesco Isivunjwe...

Acheni unafiki. ...wakati wananchi wengine wanabomolewa mlikaa kimya sasa mnaleta upupu gani kwa ajili ya jengo moja. ....watu wamebomolewa nyumba zilizojengwa miaka 40 iliyopita sembuse hili?
 
Acheni kutafta kiki naona wengine mnataka kupotosha kuwa linabomolewa kwakuwa ni la EL kitu ambacho siyo kweli hilo jengo mali ya TANESCO na kama kulibomoa yule bwana alitaka kulibomoa toka bado waziri wa barabara EL hajaondoka ccm kipindi hicho
 
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Tutakutafuta kwa habari ya uchochezi
 
Kaagize ukoo wako ktk Machame mje kuandamana!
 
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Kisasi dhidi ya nani
 
Anabomoa kumuonyesha JK kwamba yeye sasa ndo baba la mji....akili nyingine ni majanga matupu. Mkapa sijui anajisikiaje sasa hivi. Na kuongea wazi hawezi maana file lake kuhusu wizi wake wote alioufanya yeye na mkewe lipo mezani kwa mkuu.
 
Cha msingi tupewe kwanza historia mmiliki ni nani? Ilikuwaje likajengwa hapo? Aliyeruhusu ujenzi kachukuliwa hatua gani?
 
Kwa hiyo ndugu ulikuwa na wazo gani la kujenga fly over huku jengo libaki hapo....!!?
 
Cha msingi tupewe kwanza historia mmiliki ni nani? Ilikuwaje likajengwa hapo? Aliyeruhusu ujenzi kachukuliwa hatua gani?
JPM kasema hata kama ni serikali ilifanya kosa, nayo ni lazima iadhibiwe tu. Lingekuwa jengo la mtu binafsi, kwa anavyopenda misifa yule, nadhani angemtaja hadharani
 
livunjwe tanesco wahamie dodoma, watu wanabomoa kuta za nyumba kutoboa frem za maduka sembuse kuvunja jengo tupate barabara
 
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.

Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Kwani hilo jengo ni la nani kwanza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom