Kama swali lilivyo, kusema Ndiyo ni kukubali libomolewe, Hapana ni kukataa lisibomolewe na Sijui ni kutokuwa na ufahamu wa jambo hiloMkuu ili kutoa mkanganyiko tueleweshe maana ya ndiyo, hapana na sijui.
Muhimu ni kuwa hata sisi tusiokuwa na mamlaka tutakuwa tumeonyesha hisia zetu. Kama kuna Waziri mwenye kifua anaweza kulipeleka hili katika Baraza la mawaziri na wakajadili upya (kama waliwahi kujadili awali) na kuona kuwa Tanesco hiyo inahitaji fedha kuweza kujiongezea nguvu kuzalisha umeme kwa ajili ya viwanda nasio kujenga jengo jipyaSina hakika sana kama malaika mkuu ni muumini katika kura za wengi wape!
Itakuwa ni ndoto kubadilisha mawazo yake yanayopingwa hata na wasioona!
Hakika wewe ni punguani! Unajilinganisha na wengine wenye uwezo? Kabla ya kufanya jambo lazima uangalie uchumi wako ukoje hata kama ni maendeleo. Wewe ukiona Bahresa anavunja nyumba nzuri ili apate parking ya magari yake nawe utavunja yako ujenge banda la kuku eti mbona yule kavunja?Hivi mbona waafrika tunaakili ndogo sana? majengo mangapi tena bora na mazuri kuliko hilo la Tanesco yamebomolewa duniani kupisha miradi ya maendeleo? it means magufuli yeye ni kichaa aamrishe jengo libomolewe bila sababu? au wewe ndio kichaa unaeanzisha poll ya uenda wazimu? tueleze sababu kwanza kwann jengo lisibomolewe ndio tupige kura,
b
Mkuu tukumbuke pia kwa hulka ya mtukufu wetu, tukiacha hilo.., neno lake pia ndo amri..!Muhimu ni kuwa hata sisi tusiokuwa na mamlaka tutakuwa tumeonyesha hisia zetu. Kama kuna Waziri mwenye kifua anaweza kulipeleka hili katika Baraza la mawaziri na wakajadili upya (kama waliwahi kujadili awali) na kuona kuwa Tanesco hiyo inahitaji fedha kuweza kujiongezea nguvu kuzalisha umeme kwa ajili ya viwanda nasio kujenga jengo jipya
Akiishakuaamua Sizonje hakuna wa kumpinga!Nawaletea mada hii ili kujaribu kuishinikiza serikali iangalie upya kuhusu kubomoa jengo lile lenye gharama kubwa mali ya Tanesco pale Ubungo.
Ni kweli laweza kuwa ndani ya hifadhi ya barabara, lakini bado utaalamu waweza kufanyika kama tulivyoona katika tread tofauti humu na flyover ikajengwa bila kubomoa jengo lile lenye thamani ya mabilioni ya fedha. Kusudi ni kuwa hizo bilioni kadhaa za kujenga jengo jipya zipelekwe maeneo mengine kuongeza nguvu za uzalishaji umeme tukielekea kwenye uchumi wa viwanda.
Matokeo haya yanaweza kuipa picha serikali nini cha kufanya. Naamini mshauri mwelekezi kubadili mchoro kwa eneo lile la jengo hawezi kutuchaji hata bilioni moja.
Jibu NDIO, HAPANA au SIJUI
Lakini atakuja kutoka tuu kama Mkapa alivyotoka na tukamnyang'anya Kiwira aliyo lazimisha ajiuzie kwa bei atakayo yeye. Mtu anayetumia madaraka yake apendavyo ni bora kumuonyesha kupinga hata kama mnajua hatakubali ili wakati ukifika asije sema mbona hamkuniambia kuwa hili halifai?Akiishakuaamua Sizonje hakuna wa kumpinga!
Jambazi, hivi unadhani baada ya kubomolewa hilo jengo fedha hizo zaidi ya bilioni 50 zitafikiria kuleta umeme Uvinza au kujenga jengo jipya kwanza?Hilo jengo linanisaidia nn mimi mtu ninaeishi huku huku Kigoma Uvinza ndani ndani huku kusiko kuwa na huduma ya maji waka umeme wala hospital tunaishi kwa kudra za Allah.... Hilo jengo libomolewe tu hakuna namna
Napenda pia mtukufu atoe pendekezo la kubomoa na ikulu kwa kuwa itajengwa nyingine dodoma na kwamba hii ya sasa ipo karibu sana na chanzo cha maji/bahari hivyo kuwakosesha uhuru samaki na viumbe wengine wa baharini!Lakini atakuja kutoka tuu kama Mkapa alivyotoka na tukamnyang'anya Kiwira aliyo lazimisha ajiuzie kwa bei atakayo yeye. Mtu anayetumia madaraka yake apendavyo ni bora kumuonyesha kupinga hata kama mnajua hatakubali ili wakati ukifika asije sema mbona hamkuniambia kuwa hili halifai?
Haina shida akiandamana itapendezaUnaandamana upo nchi Gani? Jaribu ndo utajua faida ya kuandamana ni IPI ?
Andamana peke yako itapendeza
Sasa wewe unayeishi huko mapangoni itakusaidia nini hiyo barabara ya juu??Hilo jengo linanisaidia nn mimi mtu ninaeishi huku huku Kigoma Uvinza ndani ndani huku kusiko kuwa na huduma ya maji waka umeme wala hospital tunaishi kwa kudra za Allah.... Hilo jengo libomolewe tu hakuna namna