BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,109
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa.
Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu...
Tuandamaneni kuzuia uharibifu usiokuwa wa lazima aisee...
Hapo tunapoteza zaidi ya Bilion 60.
Hapa kuna kila sababu sasa tupate uchungu na mali zetu...pengine zinabomolewa kulipizia kisasi tu...
Liko kwenye Road reserve wewe unafurahia sisi wana Kimara kuvunjiwa!???
