Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Niliyasema yale just kuzua taharuki wala sikuwa serious hata kidogo..
Humu nimegrow sana as a person, sikuwa hivi kipindi naingia 2021,nimejofunza mengi just by interacting na members humu.

Amon, amin.. MkuušŸ™
Basi,usiondoke mwayego!Sasa,Chagua moja;Usubiri tukufanyie "send-off"" au ubakie humuhumu unarandaranda na kusumbuasumbua.Usumbufu wako unachangamsha sana mbongo za members na wasio members.
 
Basi,usiondoke mwayego!Sasa,Chagua moja;Usubiri tukufanyie "send-off"" au ibakie humuhumu unarandaranda na kusumbuasumbua.Usumbufu wako unachangamsha sana msongo za members na wasio members.
Hahaha,
Mkuu hata mm nilikuwa Unalijua hilo, it was good kuchangamsha genge, ila ndo hivyo inabidi ni answer call ya kile kimeniita kufanya kwa sasa, who knows miaka ijayo nitarudi tena jukwaani? Au ndo naenda mazima?... Bado nina Wacha kina ephen, Icebreaker, min -me Mshana Jr win-one na wengineo wengi ambao wanajua kuchangamsha jukwaa
 
Back
Top Bottom