Plug out of the internet, and plug into life.Kivipi mkuu, au ni kijembe unarusha?
Shemeji amekufukuza hakuna tena WIFI ya bure au ndio tunalog in kwenye ID nyingine sio?
Unaaga na hauondoki🤣🤣🤣🤣,
Wewe ni last born??
I'm sorry gentleman,If death then sahau hilo mkuu, ila kama jf then we'll meet again after a very big while
Binafsi sijawahi kufatilia ID nyingi kabisa.Unakuja na ID gani kiongozi? Au ndo wewe unaetoa dislike kwa Binti wa zamani ??
Wewe si ulikua unajiita eleveni ??Binafsi sijawahi kufatilia ID nyingi kabisa.
Na kuhusu hili swala hata sijui kabisa mkuu
Hapana mkuu, kuna mada zangu muhimu humu ambazo Nitakuwa nazirudia kusoma ili nikumbushie lessons.. Nitakuwa nazisoma just in case kuna kitu nimekumbuka na kilielezewa humuIkiwapendeza moderators, wakusindike na ka life ban usiweze tena kutumia hii id kuingia JF. 😀😀😀😀😀😀
Sawa, wakati ukifika utatujuza na hiyo mpya.Ndio, na niliweka wazi kila ID