Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Huyu mdogo angu nimejikuta navutiwa naye ,sio kwa maandishi yake ila kwa psychology behind maandish yake, ni kama kuna namna watu wazima tunatakiwa tu kurekebisha vitu vichache ndani yake atakua vizuri sana. Shida yake kubwa kijana wangu de Gunner ni Ego ambayo ni dalili ya insecurity. Sasa sisi kaka zake tushapita huko ni yeye tu ubishi wa kusikiliza wakubwa
Dogo chenga
 
Katika maisha kuna muda unafikia a point of no return..

Ndugu zangu, niwaweke tu wazi ya kuwa am now saying a final farewell to y'all..

JF has been a wonderful place,

Sincerely speaking nimegrow humu, nilikuja as a naive young guy in 2021 and now full of wisdom.

Nataka kusema kuwa najiweka kando na hili jukwaa kwa muda, Nitakuwa naingia occasionally Kusoma tu basi.

Sitanii ila nataka hii post iwe funga kazi, kama kuna mtu nilikukwaza, una kitu unataka kuniuliza, au unataka tu kuchat na mm via comments, do it in this post.

Nataka ni focus on my goals, na kuna vitu vingi nimegundua vinataka my full presence and determination ili viweze kuzaa matunda.

So, I'll be off, kabisa.

Thanks for the time we shared na wale wote tulio cross paths.

Na uongozi wa jf poleni kwa zile drama zangu... Nilikuwa nafanya for fun.. Ila hili jukwaa ni bomba kabisa. Mello keep it up brother, haujui how impactful una badilisha maisha ya watu.

Edit: nilisahau ku specify, saa 6 mchana Nitakuwa out officially

Asanteni sana. 🙏
Au ndiyo yake maandalizi ya kuwa mtu mkubwa sana ifikapo ule mwaka ulioutaja?
 
Umeanzisha uzi wa kuaga toka jana halafu unajibu kila comments!
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au hujui maana ya kuaga?

Dogo tafuta shughuli ya kufanya,hizi taarabu zako za kila siku hapa JF zinasababishwa na kua free sana,si ajabu baada ya nusu saa tu utakuja na kinyuzi kingine!
So far,you still do not know what you want in this life.
Huyo jamaa ana shida kichwani, kulingana na mada zake hawez kuwa mzima kichwani, anahitaji msaada, ila afunguki sasa
 
Kaaaaaazii kweli kweli

Mwenzetu unaaga kila muda kwani wajiandaa na bridal, kitchen na send off vipi ushachukua kigodoro na feni makeup isiyeyuke ??

Mwenzetu unaaga kila muda kama unangoja talaka , Kwan talaka bado ??

Unaaga kila muda kama unaenda boxing vipi wewe ni Mayweather??
 
Back
Top Bottom