Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,251
- 148,569
Maana anadeka sana.😂😂😂lazma
Maana anadeka sana.😂😂😂lazma
Sawa baba.Niko hapa ku interact na watu kwa mara ya mwisho na nimeweka maelezo hayo kwenye post
Umeandika paragraph nyingi sana kunidadisi.. Ila Nikuambie tu kuwa mimi napenda kujiwekea wazi, sipendi kuficha mambo.Unaaga kila siku huondoki unataka nauli?
My brother used to tell me this when i was young, nilikuwa nikitaka kuondoka namwambia kama naondoka hata mara 10, na ye hanipi nauli hadi nimwambie kaka naondoka naomba nauli 😅😅😅😅
Jokes aside, i feel like hunaga mtu wa kuongea nae nje ya JF, so JF for you it’s a platform to speak about yourself, (Jukwaa la kusikilizwa) Evidently: ni nyuzi chache sana ambazo haujajiongelea wewe, it’s always about you.
How are you going to manage this?
Makazini kuna wale viongozi wanapenda vikao, huwa kichinichini tunawatania kuwa majumbani kwao hakuna watu wa kuwasikiliza ndio maana wakija kazini lazima watukalishe chini tuwasikilize.
Kufa ni kufa tu mkuu. Hata wewe ukifa kesho no one really gives a damn in hereNipe namba yako na ya wazazi wako ili ukifa nitangaze kifo chako humu.
Thank you for being my fan, mkuu..Albam: Naonewa sana (Post post boy)
Singer: Attention Seeker
Song No. 1: A final goodbye
Song No. 2: Ban siyo haki
Song No. 3: Sioni faida
Song No. 4: Najiweka kando
Farewell Gunner wa Ephen, Binafsi nitakumiss.Umeandika paragraph nyingi sana kunidadisi.. Ila Nikuambie tu kuwa mimi napenda kujiwekea wazi, sipendi kuficha mambo.
Hii hulka ya kuongea vitu huwa ninayo hata nje ya jf, napenda sifa intrinsically.
Ila kwa hii post niko serious. Sidanganyi na ningependa kuwaaga rasmi, especially you tumejadili lots of stuff, Nimetoa kitu toka kwako pia..
Y'all think am playing, ila baada ya huu uzi by today afternoon Nita delete apps zote na history kwenye browser ni tave paaswors Sehem nzuri kwa ajili ya occasional visits, ila sitegemei kubandika chapisho la aina yoyote...
Mfano wa huyo boss hauja fit kabisa kwangu maana mm in person huwa sina time na kutaka kusilizwa. Mtu anisikie asinisikie ni huu yake.
🙏Asante na Ikawe kheri kwako pia🙏