Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

JF VAR CHECK

Nashukuru sana kwa push uliuonipa kupitia hate mkuu, but it's time for me to step down..

So sad, now VAR zitakosa umaarufu tena
 
Nashukuru sana kwa push ulionipa kupitia hata mkuu, but it's time for me to step down..

So sad, now VAR zitakosa umaarufu tena
Wewe sio mtu wa kupewa push wala kuelekezwa jambo lolote lile coz wewe ni Untrainable,
Ila tunadeal tu na wewe tu ili usije ukaambukiza hiki kizazi kipya ujinga ujinga kupitia vinyuzi vyako,

Nobody will waste time training you on anything because you think you're smarter than anyone here.
 
If that's all you saw in me while I was here, then you missed on other valuable versions of me. Waulize member wengine walosoma nyuzi zangu na kutoka na vitu.

Infact, we share the same existence but live in different realities.. Hata sishangai because that's what you thought of me the whole time
 
Umeanzisha uzi wa kuaga toka jana halafu unajibu kila comments!
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au hujui maana ya kuaga?

Dogo tafuta shughuli ya kufanya,hizi taarabu zako za kila siku hapa JF zinasababishwa na kua free sana,si ajabu baada ya nusu saa tu utakuja na kinyuzi kingine!
So far,you still do not know what you want in this life.
 
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au huji maana ya kuaga?

Dogo tafuta shughuli ya kufanya,hizi taarabu zako za kila siku hapa JF zinasababishwa na kua free sana,si ajabu baada ya nusu saa tu utakuja na kinyuzi kingine!
So far,you still do not know what you want in this life.
Unakazana sana na hateful comments mkuu...

Haujasoma uzi, umekurupuka uliko toka kuja kutafuta attention..
Nawakumbusha woote, ambao mnadhani natania, kuwa this is serious. Kama nilikukwaza, kama kuna kitu unataka kuniambia I'll open till leo saa 6 mchana, baada ya hapo I'll be gone for good. Mpka majaaliwa tena
I'll step out at that specified time.
 
You obviously haven't met professional victims,watu ambao wana act like victims in situations they create,they thrive on the attention iwe positive or negative they are addicts kapost hili apate attention hii
Wewe sio mtu wa kupewa push wala kuelekezwa jambo lolote lile coz wewe ni Untrainable,
Ila tunadeal tu na wewe tu ili usije ukaambukiza hiki kizazi kipya ujinga ujinga kupitia vinyuzi vyako,

Nobody will waste time training you on anything because you think you're smarter than anyone here.
 
Umeanzisha uzi wa kuaga toka jana halafu unajibu kila comments!
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au hujui maana ya kuaga?

Dogo tafuta shughuli ya kufanya,hizi taarabu zako za kila siku hapa JF zinasababishwa na kua free sana,si ajabu baada ya nusu saa tu utakuja na kinyuzi kingine!
So far,you still do not know what you want in this life.
Kama anaondoka taifa linaenda kupoteza mtu wa maana sana
 
Back
Top Bottom