Hayo ya Roma unayaingiza humu kupoteza lengo tu; na sasa unanshauri nikamtafute Joseph Kabila kunitafsiria maneno ambayo wewe unayajuwa, ... hilo pekee halikuonyeshi ulivyo mpuuzi?Wewe ndio mpumbavu mkubwa usiyejuwa nafasi ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Siku chache kabla ya Dr Nchimbi kujiuzuru alikutana na Tec Dodoma.
Vatican ina uwezo wa kuihoji Tanzania kama kuna shida ya mtu wao kwa level ya VP.
Muulize Joseph Kabila atakufafanulia vizuri ni maana ya Roma Locuta. Causa Finita Est.
Wanajua nini kwaniKwakuwasaidia mwenye nia hasa ya kujuwa Nchimbi yuko wapi aende akamuulize Askofu wake.
Ukiona wana Parokia wamekaa kimya wanaelewa mwanaparokia mwenzao alipo.
Kuzeeka au kutozeeka ni ad hominem attack. Hakuna hoja ya mantiki hapo ni kukosa hoja tu.Umeanza kuzeeka, ni hivi sliyeandikiwa barua ni Rais, then Nchimbi akatowa Public notice mitandaoni kwamba amemuandikia barua Rais ya kujiuzuru.
The same day usiku Rais akajibu kwa official Public announcement ameridhia resignation ya Dr Nchimbi.
Kutoonekana hadharani ni issue nyingine, System haiwezi kufanya kosa hilo hata kwa bahati mbaya nakuthibitishia hilo, usalama wa Dr Nchimbi upo chini ya usalama wa Taifa kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi waliopo madarakani na wastaafu wanaostahili ulinzi akiwemo Nchimbi.
Time will tell, lakini ondowa hofu kabisa Nchimbi yupo salama kabisa na analindwa na usalama wa Taifa nakuhakikishia hili siandiki porojo naandika kitu ninachokijuwa kwa ufasaha.
Kama amepumzishwa kwenye safe house kwa muda hayo ni mambo yao wenyewe, kinachoitesa Ccm ni mitandao yao ya Urais 2030 Urais Tanzania na Zanzibar Mwinyi anastaafu, kuna vita kubwa ambayo haionekani kwa macho mitandao iko kazini na mtaona uchaguzi wa ndani wa Ccm mwakani 2927 utakavyokuwa ndio wengi mtaondoka gizani na kugunduwa kumbe all this bullshit ni fighting for power.
Wewe ndio hatuelewani, serikali yote ni haram iliyoingia madarakani kwa uchaguzi haram akiwemo huyo Nchimbi.Kuzeeka au kutozeeka ni ad hominem attack. Hakuna hoja ya mantiki hapo ni kukosa hoja tu.
Umeonesha ageism na kunyanyapaa wazee. Hii ni distraction inatutoa kwenye mada na mantiki.
Mambo mengine wazee wanahitajika kwa sababu wameona mengi.
1. Hakuna ushahidi wa kutosha uliothibitishwa na Nchimbi kwamba rais aliandikiwa barua ya kujiuzulu.
2. Hakuna ushahidi wa kuonesha kuwa Nchimbi katoa public notive mtandaoni.
3. Kwa tunaoijua familia ya Nchimbi kwa mitandao ya kifamilia, kwa mitandao ya Oysterbay Primary School aliposoma yeye na mdogo wake John John Nchimbi (Mbunge wa Nyasa), kina Nchimbi walikuwa wanalalamika siku nyingi sana kuwa mitandao yao kuanzia ya simu mpaka mitandao ya kijamii imedukuliwa. John Nchimbi, mdogo wake Emmanuel, alitoka kwenye group la Whatsapp la Oysterbay Primary School siku nyingi kabla ya Emmanuel kujiuzulu akisema kwamba amedukuliwa mitandao yake pamoja na simu, tena si yeye tu, mpaka watoto, udukuzi huu umefanywa kwa Emmanuel na John Nchimbi.
Sasa hapo watu washadukuliwa mitandao yao na simu zao, unawezaje kuthibitisha tweet hii katuma Emmanuel Nchimbi na si mtu mwingine aliyemdukua tu?
Hujaelewa hoja ya Nchimbi kuonekana, suala si usalama wa Nchimbi, suala ni transparency. Unakuwaje na Makamu wa Rais anayejiuzulu kwa tweet, hajatoa hata kauli tukamuona kakubali kajiuzulu na kujieleza kwa wananchi?
Utahakikishaje kajiuzulu kweli na hajaiona tu hiyo tweet mtandaoni na yeye kama wewe?
Utahakikishaje kajiuzulu na hajauawa?
Hata kama kajiuzulu, huoni kuwa mtu ambaye on paper kachagukiwa na mamilioni ya wananchi ana wajibu wa kuwaeleza hao wananchi ana kwa ana kwa nini kajiuzulu, na kujibu maswali yao?
Suala hapa ni uwezo wa kuhakikisha.
Hata kama Nchimbi yuko salama, bado kuna tatizo serikali haina uwazi na inaweka mazingira ya kuua watu na kutuma tweet kwamba wamejiuzulu.
Huelewi wapi?
????Anasalia nyumbani.
P
Ukitaka lakini, sio ukilazimishwa kutoendaKwa watu wanaoijua Bible, God is omnipresent yupo popote, hivyo wanaweza kusali popote, ile amri ya kuhudhuria misa ni amri tuu ya kanisa, sio amri ya Mungu
P
Mkuu mroki , Kigogo alikuwa ni zamani, siku hizi hakuna kitu kabisa ni just an empty shell kama yule dada yake Maa Kima.i, usiamini wanachosema, niamini mimi, naiamini sana hii sauti
Hivi una uhakika huyo nchimbi umayemuulizia yeye amewahi kutaka kujua wewe uko wapi?!Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Una uhakika yeye Nchimbi pia anahangaika kutaka kujua wewe uko wapi?!Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Umenena vizuri.Kama wa nyumbani kwake wako kimya kiasi hiki ina maana yuko salama huko aliko.
Tofauti na hivyo tungesikia malalamiko I kama ilivyo kwa ndugu zake Polepole.
Haya banaMkuu mroki , Kigogo alikuwa ni zamani, siku hizi hakuna kitu kabisa ni just an empty shell kama yule dada yake Maa Kima.i, usiamini wanachosema, niamini mimi, naiamini sana hii sauti
PWanabodi
Naomba kuanza bandiko hili kwa utambulisho wangu, kwasababu this issue is very serious
Mtoa mada ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea huu ukiwa ni mwaka wake wa 36 newsroom, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, hivyo ni mtu wa kuaminika, ila pia ni mwandishi wa makala na mwanafasihi hivyo kuna vitu very sensitive haviandiki direct, anatumia tafsida!.
Kama kawaida yangu, nikisikia kitu, kama kitu hicho kina maslahi kwa taifa, huwa naki share.
Tangu Makamu Rais Mstaafu, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi aandike barua ya kustaafu kwa shinikizo, hakuwahi kuonekana...
- Pascal Mayalla
- emmanuel nchimbi makamu rais rais mstaafu
- Replies: 74
- Forum: Jukwaa la Siasa
Umeshindwa kuelewa kuwa this is about more than Nchimbi, more than serikali hii, it is about watu wanataka serikali ya namna gani.Wewe ndio hatuelewani, serikali yote ni haram iliyoingia madarakani kwa uchaguzi haram akiwemo huyo Nchimbi.
Kinachoendelea ni muendelezo wa Kiharam unataka Transparency ipi kwa serikali haram?
Nimejaribu tu kushare my experience nina uhakika wa asilimia 100 kama Nchimbi hayuko na Familia yake atakuwa safe house kwa sababu wanazozijuwa wao na Familia inajuwa.
Kwahili nina uhakika wa mia kwa mia na Nchimbi atakuja kuonekana live, hakuna anayeweza kuthubutu kumdhuru Nchimbi hata kwa bahati mbaya kwa level yake ya retired VP na serikali ndio yenye mandate ya ulinzi wake i can bet one million dollars.
Majibu ya maswali na hoja zako zote tujielekeze kwenye wosia wa Dr Nchimbi tupambane kupata katiba mpya.Umeshindwa kuelewa kuwa this is about more than Nchimbi, more than serikali hii, it is about watu wanataka serikali ya namna gani.
Sasa unashindwa vipi kudai transparency kwa sababu serikali si transparent, unataka kudai transparebcy kwa serikali ambayo ni transparent?
Unashindwa vipi kidai uhalali kwa serikali isiyo halali?
Unataka kudai uhalali kwa serikali iliyo halali?
Uhakika wa asilimia 100 unauelewa ni nini? Kuitaja tu hiyo asilimia 100 inaonesha huielewi, watu wanaoijua hawaitaji kirahisi hivyo.
This is a semi literate comment, semi literate inconsequential logical non sequitur fallacy at that.
Hujaelewa kwamba it doesn't matter kama Nchimbi yupo salama kwake, kwa kidnapped na serikali au kauwawa, kinachotakiwa ni uwazi.
Na hujaelewa kuwa suala hapa si uhakika wako wewe, suala hapa ni uwazi kwa wananchi wote. Wote wawe na njia ya kuhakikisha, si wewe tu. Wewe uhakika wako, hata kama ni w akweki, hautusaidii wenhine, kwa sababu hatuna hata njia ya kuhakikisha una uhakika kweli au unatupa hadithi ya kuungaunga tu.
Habari unayotueleza wewe tutajuaje kama ni kweli au mazingaombwe?
Yani wewe hujaelewa hata kutaka uwazi Nchimbi ahojiwe na watu ni sehemu ya kui expose serikali hii isiyo halali, hujaelewa point hiyo bado, unaenda kwa knee jerk reaction.
Umeelewa hiyo point kwamba kutaka uwazi Nchimbi ajitokeze ahojiwe na wananchi ni sehemu ya kuuvunja huu uongozi wa sasa na kuonesha matobo yake serikaki, yakiwa pamoja na matobo ya Nchimbi mwenyewe?
Unaelewa kuwa suala si tu watu kumdhuru Nchimbi, suala ni Nchimbi mwenyewe pia anawajibika kujibu maswali ya watu, anawajibika kuyajibu timely, na kila siku inayoenda bila yeye kuonekana na kujibu ni siku ambayo ushahidi unaweza kuwa unazidi kupotezwa?
Unaelewa dhana nzima ya justice delayed is justice denied?
Unaelewa kuwa kuna tatizo kubwa VP kujiuzulu kwa tweet halafu hajaonekana, wakati kuna habari kuwa hata hiyo mitandao yake ilidukuliwa na hatuna hakika kama hata hiyo tweet katuma yeye?
Wewe unajielekeza vipi kwenye wito wa kupata katiba mpya wakati hata provisions za kupata uwazi zilizopo kwenye katiba hii hujazielewa na huwezi kuzitumia, na mtu akitaka kuzitumia unamshangaa na humuelewi?Majibu ya maswali na hoja zako zote tujielekeze kwenye wosia wa Dr Nchimbi tupambane kupata katiba mpya.
Yanayoendelea Kenya si kwamba Rutto anafurahia bali hana uwezo wa kumfanya chochote Kenyatta katiba yao imeweka mambo bayana.
Tutafanya debate zote lakini kiburi cha Ccm kipo kwenye kuhujumu kutokuwepo kwa katiba mpya.
Unaweza kuangalia upande mmoja wa muungano Zanzibar wao wametengeneza katiba yao ambayo atleast kuna fair game.
Mtafute kwenye ili nyumba aliyokuwa anakaa Aboud Jumbe.Swali la kujiuliza ni kwanini familia yake ipo kimya?
Mzee Mwanakijiji aliwahi kuandika hivi;Wewe unajielekeza vipi kwenye wito wa kupata katiba mpya wakati hata provisions za kupata uwazi zilizopo kwenye katiba hii hujazielewa na huwezi kuzitumia, na mtu akitaka kuzitumia unamshangaa na humuelewi?
Haki za katiba hii ya sasa huzielewi, huzitumii, mtu akitaka kuzitumia unamshangaa, unamshambulia.
Hiyo katiba mpya itakusaidiaje wakati haki za katiba hii ya sasa huzielewi, huzitumii?
Wewe una tatizo la kiutamaduni, hata kwenye matatizo ya katiba hujafika bado.
Japo mimi ni Mkristo Mkatoliki, nimeisoma Bible na kuielewa vema, naomba huko kwenye Ukatoliki na amri zake tusiende, unajua Bwana Yesu Kristu, Maria, Yosefu na ndugu zake wa 4, waliishi Misri mpaka alipotimu umri wa miaka 30, unajua kule Misri, alikuwa ana abudu wapi?.Paschal,kwenye hili ni vema ukajikumbusha mafundisho ya dini.Kwani amri ya nne inasemaje?
Mimi naamini Sheria za kidunia zilitungwa kwa ushawishi wa kiblia.Ni sahihi kulinganisha amri za Mungu na Katiba ya nchi na amri za kanisa ni mithili ya Sheria za bunge na kanuni zake.
Kwa hiyo Sheria za kanisa zinakuwa na uzito sawa na amri za Mungu.Kwa maana ya uzito wa dhambi zinazotokana na kuvunja amri za kanisa.
Amri ya nne ya amri za Mungu inaongelea siku ya Jumapili.Na kanisa limeweka utaratibu wa kwenda kanisani kusali.Kwa wakristu hiyo ni amri halali na dhambi ya mauti kutotiitimiza.Hakuna.mahali Kanisa limeelekeza kuwa mkristu anaweza kusali hata nyumbani kwa kuwa Mungu yuko popote.
How does this relate to my points?Mzee Mwanakijiji aliwahi kuandika hivi;
"Wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo.
You relate with your points.How does this relate to my points?
Yani umeandika wewe halafu kazi ya ku relate unanipa mimi?You relate with your points.
WEWE HUTOMUONA?Hapana,kuna amri za Mungu na amri za kanisa,kutokwenda kanisani mara moja moja kama unasababu ya msingi,sio kosa. Sababu ya yeye kutokwenda kanisani,ni sababu ya msingi sana!. Muda wa solitude ukiisha ataibuka na mtamuona!
P