Dr Nchimbi aliandika barua kwa Rais ya kujiuzulu, si ile public noticeniliyosambaa mitandaoni.
Rais aliyeandikiwa barua akaridhia official resignation ya Dr Nchimbi public, mpaka hapo hakuna mkanganyiko wowote Dr Nchimbi ni mstaafu kisheria na anastahili mafao yote ya wastaafu ikiwemo ulinzi wa Usalama wa Taifa, hili halina mkanganyiko wowote.
Mambo yao Ccm ni vita zao za Urais 2030 huko waachieni wenyewe wamalizane, ila kwenye mambo ya kisheria Dr Nchimbi ni mstaafu kisheria na anastahili haki zote kama anazopata Dr Phillip Mpango na Kasim Majaliwa.