Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
CCM ndio watuelezeHivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Ni lazima kilichompata Jumbe kimpate Nchimbi pia?Hebu tukumbushe kwanza ni lini uliwahi kuambiwa alikokuwa Abood Jumbe mara baada ya kufukuzwa Umakamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzbar. Au ulikuwa bado mtoto?
Umekula Mchana.?Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kwa watu wanaoijua Bible, God is omnipresent yupo popote, hivyo wanaweza kusali popote, ile amri ya kuhudhuria misa ni amri tuu ya kanisa, sio amri ya MunguKwa mkatoliki ni lazima kwenda kushiriki misa...labda kwa mgonjwa mahututi ndo anaweza kupata ekarist akiwa nyumbani..
Sasa anasalia nyumbani kama misa au anaomba tuu mwenyewe
Yeye ni mkatoliki safi anajua sheria za kanisa...hivyo hawezi kusema anasali popote..Kwa watu wanaoijua Bible, God is omnipresent yupo popote, hivyo wanaweza kusali popote, ile amri ya kuhudhuria misa ni amri tuu ya kanisa, sio amri ya Mungu
P
Wastaafu waandamizi wote wanalindwa na Usalama wa Taifa.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Wanasema tumelianzisha wote tumalize wote, who are you! Where are you going?Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Anaweza pia kuwa kwenye Sabbatical leave.Yeye ni mkatoliki safi anajua sheria za kanisa...hivyo hawezi kusema anasali popote..
Sema labda anaumwa
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Haumwi, ni mzima bukheri wa Afya, lakini kwa mapito yale, hata Wakatoliki wenyewe huwa wanafanya, inaitwa yuko kwenye solitude.Yeye ni mkatoliki safi anajua sheria za kanisa...hivyo hawezi kusema anasali popote..
Sema labda anaumwa
SauwaaAnaweza pia kuwa kwenye Sabbatical leave.
Hakuna baya lolote la kumpata Dr Nchimbi, analindwa na vyombo vya serikli PSU.
Tatizo Wabongo sasa hivi ujuwaji ni mwingi, Dr Nchimbi siyo Humphrey Polepole, kila mbongo sasa hivi ni mwanasheria anachambuwa kesi ya Lisu, kila mbongo sasa hivi ni mchambuzi wa mpira na mchambuzi wa siasa za Kimataifa, ili mradi ni vurugu mechi tu.
Nchimbi ni jembe sana yule jamaa.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Akati hatuumwi wala nini tunalala mpaka tunakuja kushtukia misa ya pili imeisha imebaki misa ya watotoKwa mkatoliki ni lazima kwenda kushiriki misa...labda kwa mgonjwa mahututi ndo anaweza kupata ekarist akiwa nyumbani..
Sasa anasalia nyumbani kama misa au anaomba tuu mwenyewe
Hivi anajua kuwa ni yeye ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa taifa hili.Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
p
Ni yale ya Jumbe enzi za mwalimu. Mji mwema mpaka mwisho wa maisha yake.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?