Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,706
Ninyi hamuibi kama wengine lakini mwenendo wa Intaneti yenu hauridhishi, imekuwa slow sana hasa huku Katerero.
Pia kila siku tunaomba mrudishe Intaneti ile ya usiku kuanzia saa 6 ila mnaweka pamba masikioni.
Pia kila siku tunaomba mrudishe Intaneti ile ya usiku kuanzia saa 6 ila mnaweka pamba masikioni.