TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

20250123_110345.jpg

Ninachopenda ni bufee tu
 
Ni mwezi sasa T pesa haifanyi muamala wowote wa kutuma pesa kwenda mtandao mwingine au bank..na mnajua wazi mawakala wa T pesa vijijini hakuna sijui mnafikiria nini NAJUTA KUWEKA PESA HUMU😡
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

kumiliki laini ya ttcl imekuwa mateso sana --- na wao hawana muda wa maelezo na mtu
 
Wamenifanya hadi nikasafiri kwa ajili ya kwenda kutoa pesa kwa wakala wao maana yuko mbali na hakukuwa na njia yoyote ya kutoa pesa zaidi ya wakala wa T pesa,huu mtandao unajifia!
 
  • Thanks

naam kuna muda huwa naona wanawaona watu wanaoendelea kutumia laini za ttcl kama ni mzigo kwao maana kuna vitu havileti mantiki kabisa
 
TTCL kwa sasa wanadili na mkonga wa taifa tu na sio sales
 
Nimeomba internet siku ya pili sijapata, jengo langu lina fiber na niko mita 100 toka ex-telecom. Namna hii mtafika wakati kuna kampuni naomba sasa hivi after 1hr nina internet.
 
Haya wale wa Kigamboni hasa maeneo ya Tungi na Darajani tumeni maombi kwa wingi ya kufungiwa Fiber

Wale wa Kimara pia kaeni mguu sawa
 
Back
Top Bottom