tumasa
Senior Member
- Dec 1, 2021
- 161
- 196
TTCL rekebisheni hili tatizo la mtandao wenu kupatikana katikati ya miji tu.
TTCL rekebisheni hili tatizo la mtandao wenu kupatikana katikati ya miji tu.
Ndo vzrMtandao siyo tatizo tatizo intanet mpaka usiku tena saa 6 usiku shida ipo wapi. Au tatizo simu yangu.
Mkuu wamekuungia? Na mimi nahitaji huduma ya internet ya mkongo.Tumeomba kuunganishiwa huduma ya internet tokea mwezi wa 08 mwaka jana hadi leo hatujafanikiwa kuungiwa , shida ni nn
Kuna FIBER na CABLE, unataka ipi?Mkuu wamekuungia? Na mimi nahitaji huduma ya internet ya mkongo.
Ipi iko vizuri kwa speed?Kuna FIBER na CABLE, unataka ipi?
Fiber isikie tu but ni gharamaIpi iko vizuri kwa speed?

SawaFiber isikie tu but ni gharama![]()
Wao ndio waoYaani nyiee

Nilikuwa nikiweka 10,000 napata 7+GB wamepunguza 1+GBWao ndio wao![]()
Kupoje mkuuKwny dakika ndio balaa

Hiyo halo ipo kite kasoro voda unapata kwa buku mbili.1 Mb ilikua sh 1.3 sasa hivi imepanda na kua sh 1.5![]()
Tabata Kimanga (Dsm), eneo la maji chumvi na shule ya msingi kusukuru miaka mingi hakuna huduma ya internet
Hakuna mtandao hapa..., HOVYO KABISA.Kupoje mkuu