Kumbe yaliyomo yamoJomonii. Balozi Shishi wameachana nae?
Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?Jambo letu limetimia
#RudiNyumbaniKumenoga
#Watakaatu
Hongereni ila jambo lenyewe bayaa, sasa mkizindua/mkisaini sisi wateja wenu tunanufaikaje?
Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
Hii ni entiry ya serikali. Serikali haijawahi kufanya biashara ikafanikiwa. Wezi wengi sana na wahujumu hawakosi.
Kumbe ninaweza kujiona ninawapa TTCL kumbe wanapeleka kwa wengine?Hii ni entiry ya serikali. Serikali haijawahi kufanya biashara ikafanikiwa. Wezi wengi sana na wahujumu hawakosi.
Asipoteze muda wake hawa walishafeli kitambo labda wanaribu kukata viuno
Kumbe ninaweza kujiona ninawapa TTCL kumbe wanapeleka kwa wengine?
Wewe mzalendo wape hilo wazo lako maana hili ni Shirika la Umma usitegemee bahasha ya kaki iliyotuna.Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
Hatutakii 😀😀Tunamsaidia Billnass kushika mguu
Mbona wao wanalipwa mishahara? Kwanini hawafanyi kazi bure?Wewe mzalendo wape hilo wazo lako maana hili ni Shirika la Umma usitegemee bahasha ya kaki iliyotuna.
Daaah, basi siwapi teeeenaWatauza wazo
Mbona wao wanalipwa mishahara? Kwanini hawafanyi kazi bure?