Kuwahi habari za uhakika ,ulweli na uwazi outoka kwa Kigogo😆😆Ndio matatizo ya kizazi cha sasa. Ni mwendo wa kukopi na kupesti tu. Then unawahi insta kucheki nini kina trend
Kuwahi habari za uhakika ,ulweli na uwazi outoka kwa Kigogo😆😆Ndio matatizo ya kizazi cha sasa. Ni mwendo wa kukopi na kupesti tu. Then unawahi insta kucheki nini kina trend
Mambo ya kuajiri wajomba serikalini ndo matokeo yake. Kuna watu wanafanya kazi serikalini ila uelewa wao unatia kinyaa utadhani waliishia la nne halafu unaambiwa Ana diploma.Huo uzembe wao hauvumiliki!
Yaani hata proof reading iliwashinda?
Usinikumbushe aliyekuwa kuwa Naibu Waziri wa madini akashindwa kuapaMambo ya kuajiri wajomba serikalini ndo matokeo yake. Kuna watu wanafanya kazi serikalini ila uelewa wao unatia kinyaa utadhani waliishia la nne halafu unaambiwa Ana diploma.
Hahahahahahahahahaha mzeeeee wwView attachment 1738297View attachment 1738298Ndiyo zao hao, wasituzuge sisi.
Yaani, wameshindwa hata kuomba radhi; kuwasimamisha inawezekana ni makosa ya kibinadamu lakini uongozi wenyewe ulitakiwa kumuomba radhi Rais na wasomaji wao kwa usumbufu wowote unaoweza kuwa umejitokeza.
Nop best...uzembe mkubwaTSN nao wamekurupuka ,Kukosea kupo...Hayo ni makosa ya kibinadamu.