Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Tuliwaambia Iran ana Options mbili tu kukubali matakwa au Apigwe kipigo cha Mbwa-Koko.

Sasa tunataka mtuambie je Mnasafirisha au mnazika hapahapa?
 
Tuliwaambia Iran ana Options mbili tu kukubali matakwa au Apigwe kipigo cha Mbwa-Koko.

Sasa tunataka mtuambie je Mnasafirisha au mnazika hapahapa?
Si unaona tunavyo safirisha mizigo hata mfuchi vipi vumbi na moshi havifichiki


View: https://youtube.com/shorts/vUN_uoDRfX0?si=GLN1hmS_YHrR5NUd


View: https://youtube.com/shorts/53Qksy8auLY?si=Lq4BlGl-TgQRJaK1


View: https://youtube.com/shorts/8JiaPyiJCpY?si=bB9LnZUaYjuG6fsV

Vipi mapampers ya uharo huko nasikia Missiles zinawafata mpaa kwenye ma Shelter 😄
 
Hatari ndugu yangu vita sio poa watafute Amani alaka.
 
Mdogoee nimelejea mtamboni ndugu zangu mnipokee km nilivo ni yule yule,,
 
Mtaalam wa mambo ya usalama na ulinzi wa marekani wiki mbili zilizopita akiwa kwenye baraza la maseneta alihojiwa kuhusu impacts za kuingia vita na Iran akawaambia haina maslahi yoyote sababu itavuruga mahusiano kabisa na nchi za mashariki ya kati kwenye kambi zao na watakufa wanajeshi wengi mnoo kuliko inavyodhaniwa
Na iwe hivyo ili Wamarekani waache kuchagua viongozi irrationally!
 
Au wa kuagiza online 😀

On a serious note, ebu naombeni link nikasome root cause ya hii vita. Mi naisikia juu juu tu, japo naamini kabisa Trump ni mkorofi!
Hulda hulda kermeli wetu wamesha muua mafedhuli , tangu jana hapa nalewa kwa machungu😭😭😭
 
Mdogoee nimelejea mtamboni ndugu zangu mnipokee km nilivo ni yule yule,,
Baada ya Magaidi wa Hamas,Hezbollah!Houth na Ayatollah Ali Khamenei kuangamizwa ndipo ukaona bora ujitokeze kumuokoa Iran kutoka kwenye mikono ya Netanyahu?
 
Kuficha 560 deaths kwa nchi kama Marekani ni vigumu sana. Kama ni kweli, hiyo ni kashifa inayotosha kumweka kiongozi kwenye wakati mgumu sana politically!
So una amini kwamba Kwa makombora yote yale yaliyotua kwenye base za USA wamekufa wanajeshi watatu tu !? 😁
 
Back
Top Bottom