Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Mawazo yangu , kama makombora ya irani yameweza kupga shabana katika military base za marekani na zngne zimepga huko telavina na mji wao mtakatifu kwaapigano ya mwanzo hii inamaanisha atakama muisrael na mmareka watashinda ila lazima raia wao wengi na miundombinu wamwage damu nyingi, ndan ya hii wiki marekani ata force meza ya maelewano , ila iran usikubali lazima utue vtu pale washton dc florida na kwenye miji yao mikuu ,

Viva iran , American and Israel you must pay
 
1772411010177.png
imebidi nicheke tu
 
Toka lini dada mtu anaeuziwa mafuta,maji,Chupi za wake zao akawa na akili .Hayo majamaa ndio maana wenye akili wanayapukutisha fedha.

Kama Jana kuna yule binti anasema alikuwa kwenye baraza la mawaziri wakimjadili Jasusi na yalivyoa hayana akili yakabaki yanashangilia.
Ndio maana nina eneo langu natafuta mhubiri aje tujipigie hela kutoka kwa wapuuzi
 
Hii habari ya Trump kuwaomba Italy wawaambie Iran wakae mezani wazungumze ni ya jana,na Iran walikataa
Leo kupitia the Atlantic Trump anadai kiongozi wa Iran anataka mazungumzo, Iran haina kiongozi sasa hivi
Kwa akili ya kawaida tu Iran hawezi kataa offer ya mazungumzo sababu vita ikiendelea atayezidi kuathirika ni yeye maana hata huyo Ayatolah mpya anaweza kupotezwa.
 
Hii vita hata ukimuuliza mtoto wa chekechea atakuambia nani ana nguvu na nani anashindwa, inawezaje taifa linalojiita lina nguvu za kijeshi linaweza kuuliwa kiongozi mkuu na kupoteza makumi wengine wasaidizi wake km sio kuzidiwa mbinu ? naamini siku moja hawa Makomando wa SEAL siku wakiamua wanaweza kumbaka Chura Kiziwi mbele ya mmewe ni masuala ya Intel na tech na sio propaganda mnazotulisha kutokana na hasira za kuuliwa shehe wenu..
 
Kama mimi ningekuwa Trump, ningefuta kobazi wote mpaka Africa ili dunia itulie. Chanzo cha maasi mengi ni kobazi
Vita za dunia.
Ukoloni.
Utumwa.
Hivi vilianzishwa na wazungu tena wakristo
 
Kwa akili ya kawaida tu Iran hawezi kataa offer ya mazungumzo sababu vita ikiendelea atayezidi kuathirika ni yeye maana hata huyo Ayatolah mpya anaweza kupotezwa.
Iran AMEKATAA.
Wale ni shia wanaishi kiitikadi.
Yani umuue kiongozi wa dini wakae mezani na wewe!??
Alireza Arafi AMEKATAA KATA KATA MAZUNGUMZO.
 
Hii vita hata ukimuuliza mtoto wa chekechea atakuambia nani ana nguvu na nani anashindwa, inawezaje taifa linalojiita lina nguvu za kijeshi linaweza kuuliwa kiongozi mkuu na kupoteza makumi wengine wasaidizi wake km sio kuzidiwa mbinu ? naamini siku moja hawa Makomando wa SEAL siku wakiamua wanaweza kumbaka Chura Kiziwi mbele ya mmewe ni masuala ya Intel na tech na sio propaganda mnazotulisha kutokana na hasira za kuuliwa shehe wenu..
USA rais wa zamani John Kennedy aliuawa,je USA ni dhaifu??
Trump alikoswa na risasi sikioni je USA ni dhaifu!??
Tofautisha ASSASSINATION ATTEMPTS NA CONVENTIONAL WAR.
Akili huna bure kabisa wewe.
Aya vita inaendelea tuone nani atasalimu amri.
 
Tofautisha muuaji anayevizia aue kundi la viongozi na kuvizia mtu mmoja.. ni watu tena ilitokea kutokea kuuiwa Mass Squad ya viongozi km Iran ?
 
Kuficha 560 deaths kwa nchi kama Marekani ni vigumu sana. Kama ni kweli, hiyo ni kashifa inayotosha kumweka kiongozi kwenye wakati mgumu sana politically!
Mtaalam wa mambo ya usalama na ulinzi wa marekani wiki mbili zilizopita akiwa kwenye baraza la maseneta alihojiwa kuhusu impacts za kuingia vita na Iran akawaambia haina maslahi yoyote sababu itavuruga mahusiano kabisa na nchi za mashariki ya kati kwenye kambi zao na watakufa wanajeshi wengi mnoo kuliko inavyodhaniwa
 
Back
Top Bottom