Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

We una amini?
Trump says Iran leadership agrees to talks after US and Israel strike Tehran | US-Israel war on Iran | The Guardian Trump says Iran leadership agrees to talks after US and Israel strike Tehran

Ayatollah kashambuliwa wakati akijadili mazungumzo na marekani yalipofikia, yaani kesho ilikua wakutane tena
USA akashambulia,sasa nani hakutaka mazungumzo kati ya Iran na marekani,unaona kuna logic kwenye hiyo kauli ya Trump!?

Base za marekani zinachakaa mashariki ya kati, Israel zile settlement hazifanyi kazi dhidi ya makombora ya Iran maana leo wameoneshwa mfano huko beshem
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-01-18-14-49-498.jpg
    Screenshot_2026-03-01-18-14-49-498.jpg
    132.2 KB · Views: 13
We hangaika tu
Nihangaike wakati wanaokufa wala sina uhusiano nao na wala sina uchungu nao, sasa kufa kwa Ayatollah kunihangaishe nini wakati alihisi anayeweza wakampopoa kama ndezi. Yaani hata auawe Netanyahu au Trump kwangu swadakta tu. Yaani hivi vita viendelee visiishe tuone, we wanna see the showdown to differentiate between those who talk the talk and those who walk the walk.
 
Kama mimi ningekuwa Trump, ningefuta kobazi wote mpaka Africa ili dunia itulie. Chanzo cha maasi mengi ni kobazi
Mkk/undu wako! Unaombea binadamu wenzio wafe ili mphilane vizuri bila bugdha? ndiomaana mnaleta machafuko Nchini sababu ya chuki kwa Rais asiye wa dini yenu...tutawatia adabu
 
Trump says Iran leadership agrees to talks after US and Israel strike Tehran | US-Israel war on Iran | The Guardian Trump says Iran leadership agrees to talks after US and Israel strike Tehran

Ayatollah kashambuliwa wakati akijadili mazungumzo na marekani yalipofikia, yaani kesho ilikua wakutane tena
USA akashambulia,sasa nani hakutaka mazungumzo kati ya Iran na marekani,unaona kuna logic kwenye hiyo kauli ya Trump!?

Base za marekani zinachakaa mashariki ya kati, Israel zile settlement hazifanyi kazi dhidi ya makombora ya Iran maana leo wameoneshwa mfano huko beshem
Toka lini dada mtu anaeuziwa mafuta,maji,Chupi za wake zao akawa na akili .Hayo majamaa ndio maana wenye akili wanayapukutisha fedha.

Kama Jana kuna yule binti anasema alikuwa kwenye baraza la mawaziri wakimjadili Jasusi na yalivyoa hayana akili yakabaki yanashangilia.
Ndio maana nina eneo langu natafuta mhubiri aje tujipigie hela kutoka kwa wapuuzi
 
Mkk/undu wako! Unaombea binadamu wenzio wafe ili mphilane vizuri bila bugdha? ndiomaana mnaleta machafuko Nchini sababu ya chuki kwa Rais asiye wa dini yenu...tutawatia adabu
Huyo kibaka ni uchoko kusema anapingwa kwa sababu ya dini kwani na wanaomtetea nao wanamtetea kwa sababu ya dini? Vipi Magu naye alikuwa anapopolewa humu kwa sababu ya dini? Sometimes hawa wanaowatukanane kuwa watu wengine hamjitambui kwa sababu ya dini huwa wana kila sababu kama akili zenyewe ndiyo kama hizo zako.
So brainwashed and being toyed with like a caricature, you're so pathetic.
 
View: https://youtu.be/0IEK1dt9CAQ?si=CIX1qOGnWe6AG2BN

Waziri wa mambo ya nje wa Iran ni Iran ndio atakaye simamisha vita wakati yeye akitaka si wengine.

Hapo ni wazi Iran anamuambia Trump wacha uwongo hakuna aliye kupigia simu anataka mazungumzo na wewe.

It makes sense. Under normal circumstances, hakuna nchi ambayo isingeingia vitani mazima baada ya kiongozi wake mkuu kuuliwa na adui. If that cannot give them a reason to wage an all out war, then nothing can!
 
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Ati Ayatollahs wa Iran ni Viongozi wa Kidini🙃🙃! Labda dini ya Shetani; limtu lilikuwa lina tongue 👅 kiss vitoto vidogo vya like!!

View: https://x.com/RealBababanaras/status/2027939476971130898?s=20
 
Huyo kibaka ni uchoko kusema anapingwa kwa sababu ya dini kwani na wanaomtetea nao wanamtetea kwa sababu ya dini? Vipi Magu naye alikuwa anapopolewa humu kwa sababu ya dini? Sometimes hawa wanaowatukanane kuwa watu wengine hamjitambui kwa sababu ya dini huwa wana kila sababu kama akili zenyewe ndiyo kama hizo zako.
So brainwashed and being toyed with like a caricature, you're so pathetic.
Ona Ayatollah akimpiga mtoto tongue 👅 kiss

View: https://x.com/RealBababanaras/status/2027939476971130898?s=20
 
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Huyu malaya wa kiume anawachuuza ili apate fursa ya kuwaumiza washenzi wenzake zaidi
 
umethibitishaje kama iran idadi yao waliokufa ni kweli hawajaficha kama tu habari ya kufa kibabu chao walificha?
 
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Mkubali tuu maana vita mmeshindwa tayari, Supreme leader na top commanders karibu wote wa revolutionary guard wamekuwa eliminated, air defense na fighter jets karibu zote zimekuwa destroyed on the ground kabla hata hazijaruka , Iran hana Air Force wala Navy sasa, revolutionary guards wanakimbia kimbia tuu hawana central command maana wote waliliwa vichwa, ballistic weapons stock inakaribia kwisha nyingi zimelipuliwa chini, rudini mezani yaishe na muachane na biashara ya nuclear
 
Back
Top Bottom