Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

So una amini kwamba Kwa makombora yote yale yaliyotua kwenye base za USA wamekufa wanajeshi watatu tu !? 😁
Kuamini au kutokuamini kwangu hakutabadilisha kitu. Ukweli utabaki kama ulivyo na hakuna ujanja wa kuuficha permanently. Time will tell.
 
Hii habari ya Trump kuwaomba Italy wawaambie Iran wakae mezani wazungumze ni ya jana,na Iran walikataa
Leo kupitia the Atlantic Trump anadai kiongozi wa Iran anataka mazungumzo, Iran haina kiongozi sasa hivi
😄😄
 
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Mbinu kubwa inayotumika na Waarabu/Waislamu ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao.

Hawa watu wanaruhusiwa na dini yao kusema Uongo au kutukana ikiwezekana hata kuua kwa ajili ya mnyqzimungu wao ndiyo maana utaona hawasemi kweli daima.

Juzi tu waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Iran kaulizwa kuhusu Ayatollah na alikanusha na kusema viongozi wote wa Iran wako salama na wanaongoza vita vizuri kumbe kafa muda mrefu na alikuwa anajua.

Taqiyya kwenye vitabu vyao ipo na wanaruhusiwa na hata hao anasema yeye ni askari 560 wa Marekani hiyo ni TAQIYYAH

Ikumbukwe kuwa Marekani ilihamisha askari wake karibu wote kwenye kambi hizo sasa jiulize hao 560 wametoka wapi? Elewa tu hiyo ni TAQIYYAH

Ndiyo maana kwa waislamu hata kama amefunga yuko tayari akudanganye au aseme uongo bila kuogopa!!
 
Ila huu ushabiki Sijui huwa unawasaidia nini aisee...
 
Baada ya Magaidi wa Hamas,Hezbollah!Houth na Ayatollah Ali Khamenei kuangamizwa ndipo ukaona bora ujitokeze kumuokoa Iran kutoka kwenye mikono ya Netanyahu?
nimelejea kuzuiya propaganda za ovyo.
 
nimelejea kuzuiya propaganda za ovyo.
Karibu sana tena, Wapiga Propaganda wenzako baada ya kuona Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth wameshindwa waliona aibu tukawapoteza labda Iran akishinda watarudi lakini tena Ayatollah kauliwa sasa sidhani kama watalejea.

Kabaki mmoja tu Adiosamigo na wajinga wenzake wanne tu!!
 
Karibu sana tena, Wapiga Propaganda wenzako baada ya kuona Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth wameshindwa waliona aibu tukawapoteza labda Iran akishinda watarudi lakini tena Ayatollah kauliwa sasa sidhani kama watalejea.

Kabuki mmoja tu Adiosamigo na wajinga wenzake warned tu!!
Muosha vyoo unavituko sana bado tu unaamini US ni super power hahahaha yule Israel ni bure kabisa kwa Iran na ndio sababu walilivuta jinga lolo Trump kwenye vita
 
Mbinu kubwa inayotumika na Waarabu/Waislamu ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao.

Hawa watu wanaruhusiwa na dini yao kusema Uongo au kutukana ikiwezekana hata kuua kwa ajili ya mnyqzimungu wao ndiyo maana utaona hawasemi kweli daima.

Juzi tu waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Iran kaulizwa kuhusu Ayatollah na alikanusha na kusema viongozi wote wa Iran wako salama na wanaongoza vita vizuri kumbe kafa muda mrefu na alikuwa anajua.

Taqiyya kwenye vitabu vyao ipo na wanaruhusiwa na hata hao anasema yeye ni askari 560 wa Marekani hiyo ni TAQIYYAH

Ikumbukwe kuwa Marekani ilihamisha askari wake karibu wote kwenye kambi hizo sasa jiulize hao 560 wametoka wapi? Elewa tu hiyo ni TAQIYYAH

Ndiyo maana kwa waislamu hata kama amefunga yuko tayari akudanganye au aseme uongo bila kuogopa!!
Mimi huwa naongea ukweli si kama wewe haya hata hawa USA si wanasema nilio yaongea. Tatizo lako msalaba unakuweka njia panda

We hebu nenda katazeme Isaiah inakuambia nini kuhusu Mtume anaye tokea upande wa uarabuni tena anatoka kizazi cha Kedar eti Jerusalem


View: https://youtu.be/Sc_x2s2GC9E?si=jZazu7zWEIJYHZN7
 
Eti mazungumzo,
We kobazi,ukila futari kanye wewe ili angalau ubaki na viakili kidoogo tu vya mawazo.
Kiujumla Akili yako na wenzio imejaa mafi tu.
Hamna haja ya kujibishana na Mafi💩💩💩
 
Back
Top Bottom