Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,064
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.