Mkuu hicho kichwa cha majaribio kimefanya majaribio wap?Utakuwa unaishi ubelgiji, kwa awamu hii ya sita shule zimeboreshwa sana na mpya zimejengwa hela za uvico-19 zimesimamiwa vizuri,
Kuhusu madawa tembelea maduka ya dawa uone wanavyolalamika biashara kuwa ngumu huduma za afya zimeimarika, tulizoea kuona magari ya polisi mapya sasa hivi ukiona gari jipya halmashauri ujue ni ambulance
Kuhusu reli, kuna majukumu ya kimkataba lazima yatekelezwe, na reli sio bembea kuwa unachomelea tu, lazima tujiridhishe ubora wake, hata unapojenga nyumba lazima ujirishishe kuwa msingi ni imara ndo uendelee na kujenga boma
kilikuja kichwa cha majaribio kimefanyakazi na sasa tunaleta kichwa halisi nacho kitaanza test works kwanza, nikusihi uwe na subira, mama samia hakurupuki, anatizama kila kazi kwa umakini