Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

Nashangaa sana hawa Dp world kwanini wamedili na bandari tu,ngoja tumuombe Mama yetu S100 aongeze kipengele cha kumpa mwarabu tanesco iwe kama kifungashio
 
Umeme umekatika tena, yaani hii nchi tusahau maendeleo..., bullshit!!
Ulifikiri uzi ndio umefanya kazi. Unafikiri wanategemea kupata kusoma huku ili waje wafanyie kazi?

Hapo nendeni na records zenu za kukatika umeme.
Ofisi zipo Posta kule karibu na ERB. Muoneni Meneja immediately litarekebishwa.

Hapo tatizo kubwa ni overload kwenye phase mnayotumia ndio maana wanaweka fuse ambayo sio rated.
Vilevile wakiweka kubwa zaidi hapo transformer linaweza kufa.

Solution ni ku balance mzigo kwa kila phase na kuweka rated fuses. Hapo mtakaa muda mrefu bila shida kutokea.

Kazi ya kubalance na kuweka rated fuses ni ya siku 1 tu.
 
Hayo mambo wao ndio wanajua, wanatakiwa wafanya hizo balance za load wao , si tunataka umeme bhnaaa
 
Upo sahihi.. ukikaa kusubiri utapata tabu mwenyewe. Fikiri Posta yote na Kariakoo mpaka uje ufikiwe ni shida.
Tunapiga simu kila siku, wao hawagundui tu?! Wanajua, ila ni zike rushwa za kila siku ndio wanataka ziendelee, tatizo kikiisha watakosa zile hongo
 
Ifike mahala Kariakoo ichukuliwe serious kwenye masuala ya miundo mbinu ya umeme, kama mjini mnatufanyia hivi, hali ipoje huko kwingine?!
 
Hii hali hadi lini, tutaishije hivi, biashara ni ngumu sana kwa kutumie jenereta, mafuta bei juu!! Hadi lini hii hali?!!!! Rudisheni umeme aisee, njoeni mtengeneze bhanaaa, yaani Kariakoo hii biashara zinakosa umeme kila siku sababu ya fuse?!!! Lets be serious!!!
Hata kwa mtu ambaye hajaenda shule ni rahisi kubaini kuwa hapa kuna mchezo wa kimaslahi unachezwa. Yaani umeme unakatwa katwa hovyo bila sababu, halafu mafuta hapo hapo yanapanda bei, hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom