Na mimvua inanyesha takriban wiki nzima hii aiseeUmeme umekatika tena, yaani hii nchi tusahau maendeleo..., bullshit!!
Ulifikiri uzi ndio umefanya kazi. Unafikiri wanategemea kupata kusoma huku ili waje wafanyie kazi?Umeme umekatika tena, yaani hii nchi tusahau maendeleo..., bullshit!!
Hayo mambo wao ndio wanajua, wanatakiwa wafanya hizo balance za load wao , si tunataka umeme bhnaaaUlifikiri uzi ndio umefanya kazi. Unafikiri wanategemea kupata kusoma huku ili waje wafanyie kazi?
Hapo nendeni na records zenu za kukatika umeme.
Ofisi zipo Posta kule karibu na ERB. Muoneni Meneja immediately litarekebishwa.
Hapo tatizo kubwa ni overload kwenye phase mnayotumia ndio maana wanaweka fuse ambayo sio rated.
Vilevile wakiweka kubwa zaidi hapo transformer linaweza kufa.
Solution ni ku balance mzigo kwa kila phase na kuweka rated fuses. Hapo mtakaa muda mrefu bila shida kutokea.
Kazi ya kubalance na kuweka rated fuses ni ya siku 1 tu.
Upo sahihi.. ukikaa kusubiri utapata tabu mwenyewe. Fikiri Posta yote na Kariakoo mpaka uje ufikiwe ni shida.Hayo mambo wao ndio wanajua, wanatakiwa wafanya hizo balance za load wao , si tunataka umeme bhnaaa
Tunapiga simu kila siku, wao hawagundui tu?! Wanajua, ila ni zike rushwa za kila siku ndio wanataka ziendelee, tatizo kikiisha watakosa zile hongoUpo sahihi.. ukikaa kusubiri utapata tabu mwenyewe. Fikiri Posta yote na Kariakoo mpaka uje ufikiwe ni shida.
Kwakuwa nilikuona unawambania warangi ngoja nami nikupambanie mitikasi hiyo naijua na itaisha very soon hahaha.Tunapiga simu kila siku, wao hawagundui tu?! Wanajua, ila ni zike rushwa za kila siku ndio wanataka ziendelee, tatizo kikiisha watakosa zile hongo
Fanya hivyo bhanaa.., hali si hali..,Kwakuwa nilikuona unawambania warangi ngoja nami nikupambanie mitikasi hiyo naijua na itaisha very soon hahaha.
Sema kaka. Bado upo gizaniIfike mahala Kariakoo ichukuliwe serious kwenye masuala ya miundo mbinu ya umeme, kama mjini mnatufanyia hivi, hali ipoje huko kwingine?!
Watakuwa wametegesha tena. Amewezaje kujua kama hawajategesha tena?Sio kwamba wametegesha tena?
Umekatika tena, hata sielewi itakuwaje hii hali, tena mjini kama hivi kwenye biashara za mabilioni.Watakuwa wametegesha tena. Amewezaje kujua kama hawajategesha tena?
Ilikuwa ni swala la muda tu, yule mzee umuhimu wake uanze kuonekana.Kweli Jiwe alikuwa mwamba. Enzi za jiwe usingesikia upuuzi huo. Manake Magufuli angeshuka na uongozi wote wa eneo hilo
Ulaji wa watu huo.Yaani hii hali ni kila siku, tumeshatoa pesa hadi tumechoka, sasa hali hii hadi lini, magenerator yanatutia hasara, mafuta bei juu!!! Sasa hii manake nini??!!!
Hata kwa mtu ambaye hajaenda shule ni rahisi kubaini kuwa hapa kuna mchezo wa kimaslahi unachezwa. Yaani umeme unakatwa katwa hovyo bila sababu, halafu mafuta hapo hapo yanapanda bei, hii imekaaje?Hii hali hadi lini, tutaishije hivi, biashara ni ngumu sana kwa kutumie jenereta, mafuta bei juu!! Hadi lini hii hali?!!!! Rudisheni umeme aisee, njoeni mtengeneze bhanaaa, yaani Kariakoo hii biashara zinakosa umeme kila siku sababu ya fuse?!!! Lets be serious!!!