Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Ila Uhuru wa nchi ulikuwa unapotezwa na Trafiki, Arusha wameishi kwa mateso makali sana,
 
Wakati mwingine unazitafakari akili za raia wa Tanzania katikati ya tafakuri yako ndio inakujia picha kwanini CCM bado ipo madarakani........kwa lugha nyepesi watanzania tuna uwezo mdogo sana wa kutafakari kwa kina na kuchanganua mambo.......ni kama mtoto mdogo anayepokonywa noti ya elfu kumi na kupoozwa na pipi ya mia akifurahia.....
Unajiona una akili mwenyewe
 
CCM utakufa utaiacha Madarakani jifunze kuipenda tu
 
Speed gavana ilikuwa ni dili la lowasa kutakatisha kodi zetu
Lowasa alikuwa na wadhifa gani?
Vidhiti mwendo vilirudishwa kufungwa kwenye mabasi wakati wa utawala wa Mkapa, waziri mkuu akiwa Sumaye.

Enzi zetu za Railways bus na KAMATA vidhibiti mwendo ilikuwa ni kawaida kwa kila bus
 
Tuliweka uzi humu kuhusu Polisi wa barabara kupunguzwa , huku wengi wao wakipangiwa kulinda Mabenki Usiku , lakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA .

Lakini leo Gazeti la Raia Mwema limeripoti kwamba tayari panga limekwisha tembea , huku MCHEZO WA UPATU waliokuwa wanacheza Trafiki hao kila siku ukibaki njia panda , kwa vile wengi wamepangiwa kazi zingine ambazo haziingizi chochote zaidi ya Mshahara , TAARIFA ZINADOKEZA KWAMBA TRAFIKI WENGINE WALIKUWA NA MCHEZO WA UPATU WA KULIPA HADI SH LAKI MOJA KWA SIKU , ambapo inaelezwa kwamba chanzo cha hela hizo ilikuwa ni Rushwa za barabarani .

Kwa mujibu wa gazeti hilo , Trafiki wengi wanamlaumu Kinana kwa kuibua jambo hilo .

Endelea kubaki JF kwa taarifa zaidi .
Erythrocyte na wewe unaingia kwenye huo mtego wa cheap popularity? Haya ni mambo ya siasa za msimu.
 
Siwapendi polisi kwa ula rushwa wao na usumbufu mwingi wanaoufanya barabarani, ila kitendo cha kuwaondoa sikubaliani nacho aslan.

Uzoefu unaonesha Watanzania kama punda, bila mkono wa chuma/mijeledi hawafuati sheria.
Hivyo kuwaondoa polisi itakuwa janga kwa watumia barabara.
Kuna njia nyingine za kusafisha hilo jeshi na sio kuwaondoa njiani.
 
Siwapendi polisi kwa ula rushwa wao nausumbufu mwingi wanaoufanya barabarani, ila kitendo cha kuwaondoa sikubaliani nacho aslan.

Uzoefu unaonesha Watanzania kama punda, bila mkono wa chuma/mijeledi hawafuati sheria.
Hivyo kuwaondoa polisi itakuwa janga kwa watumia barabara.
Kuna njia nyingine za kusafisha hilo jeshi na sio kuwaondoa njiani.

Hawajaondolewa wamepunguzwa
 
Tuliweka uzi humu kuhusu Polisi wa barabara kupunguzwa , huku wengi wao wakipangiwa kulinda Mabenki Usiku , lakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA .

Lakini leo Gazeti la Raia Mwema limeripoti kwamba tayari panga limekwisha tembea , huku MCHEZO WA UPATU waliokuwa wanacheza Trafiki hao kila siku ukibaki njia panda , kwa vile wengi wamepangiwa kazi zingine ambazo haziingizi chochote zaidi ya Mshahara , TAARIFA ZINADOKEZA KWAMBA TRAFIKI WENGINE WALIKUWA NA MCHEZO WA UPATU WA KULIPA HADI SH LAKI MOJA KWA SIKU , ambapo inaelezwa kwamba chanzo cha hela hizo ilikuwa ni Rushwa za barabarani .

Kwa mujibu wa gazeti hilo , Trafiki wengi wanamlaumu Kinana kwa kuibua jambo hilo .

Endelea kubaki JF kwa taarifa zaidi .
Traffic Walizidi ujingabwalikiwa waonevu wakubwa.
Ila kwa vijana wa mishen town ndo fursa biashara haramilu inje inje.
 
Kuna yeyote humu amewahi kukamatwa na trafiki na akalipishwa faini biki kosa lolote? Be honest; yaliyo moyoni
Mimi hapa nilisingiziwa mara kadhaa
  • Niliambiwa nimeovertake sehemu isiyo sahihi wakati mimi ndiye nimepitwa na mabasi - Sokoine Mvomero
  • Niliambiwa nimeoverspeed wakati waliooverspeed ili wanipite ni magari ya serikali nikiwa naendesha 50 - Mdaula
  • Niliambiwa chupa ya maji ya whipper haina maji ya kutosha - Chalinze
  • Wind shield ilipigwa na kokoto iliyoorushwa na gari la mbele wakati barabara inaongezwa layer ya lami pale Doma, nikaenda simama Mikumi nikatoa taarifa kwa traffic police, wakasema wataaminije kama nimepigiwa Doma, nikaomba kuonana na kiongozi wao, wakanielekeza alipo, nikamfuata, akasema nenda ila ukirudi Dar kabadili kioo, nikaomba maandishi ili yanisaidie mbele ya safari akasema kwa muda huo hana vitendea kazi (alikuwa na wageni kwenye restaurent moja inaitwa Halfway na ilikua giza limeingia) ila wakinishika niwaambie wampigie simu kupata ushahidi, Iringa nikashikwa nikawaambia nimeripoti Mikumi nikawapa namba za simu za askari wa Mikumi, wakaniambia niko mkoa mwingine, wakazuia leseni yangu, baada ya wiki nikaenda kulipa faini nikaondoka.
 
Wakati mwingine unazitafakari akili za raia wa Tanzania katikati ya tafakuri yako ndio inakujia picha kwanini CCM bado ipo madarakani........kwa lugha nyepesi watanzania tuna uwezo mdogo sana wa kutafakari kwa kina na kuchanganua mambo.......ni kama mtoto mdogo anayepokonywa noti ya elfu kumi na kupoozwa na pipi ya mia akifurahia.....
Hata ukitafakari huna cha kuwafanya bora utulie tu
 
Back
Top Bottom