Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 552
-Nchi zilizoendelea traffic hawakai barabarani kuongoza magari.
-Traffic wanakuwa Control room/ vituo mbalimbali au Kwenye magari ya patrol na hujitokeza haraka inapotokea ajali barabarani.
-Barabarani hufungwa camera maeneo yote muhimu.
-Kuweka camera barabarani hufanywa mara moja na hufanyiwa service Mara moja au mbili kwa mwaka,na huleta ufanisi na tija badala ya kujaza traffic barabarani.
Ushauri
1). Kwa kuwa Tanzania kuna vitambulisho vya Taifa na anuani za makazi
-Serikali iweke camera za barabarani kwenye maeneo hatarishi (Kona Kali,vivuko etc) badala ya kuweka traffic wengi,( Ili kupunguza gharama za uendeshaji).
2). Serikali iwe na magari mengi ya patrol kwa ajili ya kutoa msaada pindi inapotokea ajali au kuwakamata wahalifu wa makosa wa jinai.
3). traffic waache kutoa au kutoza faini,kwa maana muhimili wenye dhima ya haki au hukumu ni Mahakama.

- Barabarani kuna lane zinazotakiwa kuendesha gari kwa mwendo wa polepole, kawaida au kasi(speed limit inaonyeshwa) ,kwa mfano lane ya kulia ni mwendo kasi, ukiendesha mwendo polepole unapigwa picha na kutozwa faini
- Bili utakuta imebandikwa mlangoni nyumbani kwako.