Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Unakazia siolakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA![]()
Unakazia siolakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA![]()
Traffic police naona na nyie mmeguswa masaburi sasa mnaanza kupiga yoweTusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Dawa sio matrafiki kuwa wengi barabarani, dawa ni kuweka kamera za kuangalia mwendokasi ili anayezidisha mwendo asimamishwe panapostahili na apewe adhabu inayostahili. Its very simple.Spidi gavana hata ikiwepo kwenye gari dereva akiuondoa waya mmoja haifanyi kazi !! Kwahiyo spidi gavana ya kweli ni matrafiki kuwa wengi na tochi zao !! Vinginevyo tusubiri tuone !! Kisha wengine wataandika tuliwaonya wakadharau !!
Na huko napo atahama atatafuta ya nafuu zaidi, usishangae ukamkuta tegeta kwa ndevuNdio maana jirani alikuwa anaishi nyumb ya 350000 kwa mwezi juzi kahama nasikia kahamia huko goba nyumba ya 180000
Pigeni picha leseni zenu, akiomba mpe soft copy na sio hard copy! Kinachotakiwa pale ni leseni yenye details zako! Maana ukiwakabidhinile kadi ya leseni yako ndo usumbufu huanzia hapo, mara apokee simu ya mchepuko wake, mara park vizuri, mara akuoneshe kuwa yeye ndio yeye, mara aaache gari lako aende kukamata lingine na kuongea nalo ilihal ww umepark gari iko on, unapotezewa muda na huna kosaTraffic kua barabarani siyo tatizo hata kidogo,sema wengine walikua kero sana,yaani traffic anasimamisha gari alafu ndiyo anaanza kutafuta makosa, ataauliza leseni,ukimpa leseni anauliza kingine,hadi atakapokuta huna kitu flani na yeye ndiyo anaishia hapo na kutaka chochote kutoka kwako!! Bora wangekua wanasubiri at least dereva utanye kosa ndiyo usimamishwe na uaambiwe kosa lako! Je na police wakaida wakianzaa kukaguwa kila Nyumba kisa tu wanatufuta makosa unazani hali ingekuwaje huko majumbani mwetu!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sio kweli maana hata ajali zingine ninasababishwa na trafik kwa usimamishaji mmbovu wa magarikumbuka ajali zitaongezeka sana maana walikuwa kwa kiasi fulani wanasaidia kuwadhibiti madereva washenzi
Ila makosa mengine kama kutokuwa na leseni, fire ext, kutofunga mkanda, kuvaa ndala, etc. atayaonaje bila kusimamisha gari boss? Hebu tusaidie namna bora ya kuyatambua.Traffic kua barabarani siyo tatizo hata kidogo,sema wengine walikua kero sana,yaani traffic anasimamisha gari alafu ndiyo anaanza kutafuta makosa, ataauliza leseni,ukimpa leseni anauliza kingine,hadi atakapokuta huna kitu flani na yeye ndiyo anaishia hapo na kutaka chochote kutoka kwako!! Bora wangekua wanasubiri at least dereva utanye kosa ndiyo usimamishwe na uaambiwe kosa lako! Je na police wakaida wakianzaa kukaguwa kila Nyumba kisa tu wanatufuta makosa unazani hali ingekuwaje huko majumbani mwetu!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Kuna changamoto kidogo kwenye hili. Makosa pekee ya barabarani sio mwendokasi na wrong overtaking tu. Yako mengine mengi ambayo kamera haziwezi kuyadetect. Nini kifanyike?Dawa sio matrafiki kuwa wengi barabarani, dawa ni kuweka kamera za kuangalia mwendokasi ili anayezidisha mwendo asimamishwe panapostahili na apewe adhabu inayostahili. Its very simple.
Yes mi nimeona ana akili maana nimesoma comment yake kaifunga na kufuli maana ya alichoandika kabaki nayo moyoniUnajiona una akili mwenyewe![]()
Askali wanazuia vipi ajali za barabarani wakati muda wote anawaza hela tyu
Nae kundiniHuyo amekuwa mbishi sana karne nzima anawatetea sana hao wala rushwa,
Kichuya ni nomaNa kuna mmoja pale Bunju anaitwa Kichuya....
Jamaa anaokota hela utadhani sadaka....
kinana Katia mchanga kitumbua