TRA VS TPDC

Toa mchanganuo huo mshahara ni wa Mwezi, Robo mwaka au Mwaka mzima? Ukizingatia huo ulikuwa ni mwaka 2014 kwa mujibu wa hiyo document ya kuokoteza mtandaoni.

Nadhani Tanzania wanalipa mshahara kwa robo na mwaka mzima basi itakua huo ni mshahara wa mwaka🤡🤡🤡
 
Nadhani Tanzania wanalipa mshahara kwa robo na mwaka mzima basi itakua huo ni mshahara wa mwaka🤡🤡🤡
Usichokijua nini mkuu. Kwenye mfumo wa serikali kila mfanyakazi wa umma ametengewa bajeti ya mshahara wake wa mwaka. Utakuta mfanyakazi ametengewa milioni 24 kwa maana kila mwezi analipwa milioni 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…