MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Kuishi kwa mjomba sio tatizoInawezekana bado unaishi kwa mjomba! Ndo maana una akili za kitegemezi! Yeye alikataa utegemezi, Magufuli kaitumikia nchi hii bado haina network ya barabara za lami, kapambana wizara ya ujenzi tangu miaka yote mpaka anakufa nchi imeunganishwa na lami,
Mradi ulioachwa hauna maana ni upi?
Asingefanya maamuzi ya kuhamisha makao makuu Dodoma, mpaka leo ungebakia wimbo tu! Mzee alidhubutu, lakini wenye miwani ya mbao kama nyie hamwezi kuona!
Hakuna sehemu nimesema miradi ilikuwa haina maana. Shida ni namna alivyotaka kuifanya. Hakuna na maarifa ya kuangalia mahitaji vs uwezo. Huwezi kuamua tu mimi sitaki mkopo wakati uwezo wako wa kufanya mambo haupo. Hizo barabara unazozisema alijenga wakati wa Kikwete kwa mikopo.