Inawezekana bado unaishi kwa mjomba! Ndo maana una akili za kitegemezi! Yeye alikataa utegemezi, Magufuli kaitumikia nchi hii bado haina network ya barabara za lami, kapambana wizara ya ujenzi tangu miaka yote mpaka anakufa nchi imeunganishwa na lami,
Mradi ulioachwa hauna maana ni upi?
Asingefanya maamuzi ya kuhamisha makao makuu Dodoma, mpaka leo ungebakia wimbo tu! Mzee alidhubutu, lakini wenye miwani ya mbao kama nyie hamwezi kuona!
Kuishi kwa mjomba sio tatizo

Hakuna sehemu nimesema miradi ilikuwa haina maana. Shida ni namna alivyotaka kuifanya. Hakuna na maarifa ya kuangalia mahitaji vs uwezo. Huwezi kuamua tu mimi sitaki mkopo wakati uwezo wako wa kufanya mambo haupo. Hizo barabara unazozisema alijenga wakati wa Kikwete kwa mikopo.
 
Ni tatizo kuishi kwa mjomba! Akili bado ni tegemezi, akili yako isingekuwa tegemezi usingebeza miradi ya Magu,
Bwawa la Mwalimu Nyerere limebakia kujaza maji tu umeme uwake! Bado unafikiria pesa za mkopo?
SGR Dar Moro Mpaka upate pesa ya mkopo ndo ununue li engine zee kwa pesa za mkopo nafuu?
Ukoloni hautakuisha kichwani mwako! Kaa kwa mjomba wako!
 
Wewe na yule marehemu wote hamna maarifa. Mungu ametuepusha na janga kubwa sana, tulikuwa tunaelekea shimoni.
 
Walikuja na mkwara mkuubwa eti saruji itakuwa nyingi na itashuka bei wapi wala mtaani haipo
 
Back
Top Bottom