Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Hahahahh
Probability Ya Kwenye Pure Namba sio Bam Hii Sijawahi isoma
Organic 2 Chemistry Sijawahi isoma nayo, nilikua sijibii Mimi
Hyperbooo Hyperbolic Functions
Mi probability niliianzia mbali toka enzi za Additional Mathematics ,kwa hiyo haikuwahi kunishtusha hata ikitokea kwa comrade TRANTER.
GLU™
 
Organic II A- Level ilkua inanipa shida sana,,, O level kiswahili kilikua kinanipa shida sana mpaka namaliza, Hasa kwenye mambo ya Sarufi, sijui makosa ya ki nini yale, mara fonimu, mofimu hata sikua naelewa kitu ndio somo pekee nilikua na feli O level...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Organic Chemistry ilinifanya nilichukie somo la Kemia kwanzia form 3
Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile Sarufi ya hesabu. Kima+kihisishi yakinifu+kiarifu na fujo kama hizi form III ilifanya nichukie Kiswahili na Mwisho nikaishia karai
Daa 😥 nimekumbuka mwalimu wetu wa Kiswahili ,ilikuwa wiki mbili kabla ya paper kwenye vipindi vyake anauliza maswali ya papo kwa papo ukishindwa tu unatembea na bakora nne za maana
 
Organic II A- Level ilkua inanipa shida sana,,, O level kiswahili kilikua kinanipa shida sana mpaka namaliza, Hasa kwenye mambo ya Sarufi, sijui makosa ya ki nini yale, mara fonimu, mofimu hata sikua naelewa kitu ndio somo pekee nilikua na feli O level...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii topic ina uzito wake, nakumbuka mwalimu wetu alituambia kuhusu Organic tujitegemee tu wenyewe, aligusaga tu mambo ya Polymers lakini wataasisi wa Necta wakatuletea Glycerine.
GLU™
 
Nilikuwa natega sana mapindi ya kiswahili sasa balaa likaja kwenye mtihani si wakauliza nielezee kitabu chochote nilichosoma mjuba sikusoma hata kimoja sivijua hata majina nikajibu na kuelezea kitabu cha ngeli kile cha Hawa the bus driver.... Nilipiga kalai la biriani after viboko vya kutosha.

Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
 
Nimecheka sana 😁😁😁😁😁😁😁.
GLU™
 
Logarithm ile ya fomr two..

Teacher alitoa paper ya midterm halafu maswali yote ni topic ya log.. Nikazungusha karai langu fresh tu ila roho iliniuma sana ..

Nilienda mchikichini kwa ajili ya ile topic tu..

sent using Simenzi mayai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom