Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Chuo bata eeeh
Kipindi cha chuo nilifanya fujo.. Boom nilikuwa nalamba 100%, alafu home nikawaambia sina mkopo.. wakawa wananipa mshiko zaidi ya boom.. alafu mie boom nilikuwa silichukui linapotoka nasubiri semester two katikati au mwisho nakusanya mzigo woote ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mbona kilikuwa kina wakaaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
National Anthem ni miongoni mwa vijana waliokua hovyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aah.. nilikuwa napiga hela za home za mwisho mwisho..nilijua nikimaliza kibao kitanigeukia mie home kunikamua
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daah ila ulicheza kama pele hivi . Yani kama uliwaotea hivi
Na hizo pesa matumizi yake yaliishia kwa ma youtong tuu
 
Hicho ndo mi nilichokiona ... Wewe kutaka kwenda chuo ni mambo yako ya ajabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ili ukatusumbue kule kwa rikk boy
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… naingia chuo ka benz kangu mbona ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ kula ni mle mle wanapokula wao pa buku kwa buku jiii
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Rudi rudi rudi ili mubanie watoto riziki zao alaaaah
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daah ila ulicheza kama pele hivi . Yani kama uliwaotea hivi
Na hizo pesa matumizi yake yaliishia kwa ma youtong tuu
Nilikuwa na mtoto wa kinyarwanda unafikiri hata nilikuwa naangaika basi, na nilikuwa naishi nae maskani.... yeye ndio alikuwa anazifaidi
 
Back
Top Bottom