Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,189
ha ha ha haAngempeleka tu n hasara Kua Na mama type ya mange
ha ha ha haAngempeleka tu n hasara Kua Na mama type ya mange
nyani hujui kupanga meza vyakula expensive but havitamanishi yaani
maskini unakaa pori gani hilo la shule za kuamka saa kumi jamani .6yrs sina jinsi my anaamka tu Ila kwenye gari kuna vtoto navikuta v3 vinalala hvyoo!!
ubunge gani anajipa tu matumaini [emoji28] yaan nahisi atakamatiwa uko uko ndani ya ndege kabla hajafika apaYaaani tunamngoja kuja kugombea huo ubunge tumdake
Hongera Nifah manake naona members wengi wamekukubali umekua approval. Hii ni ishara kwamba una mahusiano mazuri na marafiki hapa JF. Kila la kheri katika maisha yako siku zijazo InshaAllah.Thank you my dear [emoji120]
Nakukubali pia.
switie shunie mabinti wanasumbua dearsema wadada ni changamoto ina bidi tu uwe mpole upate mlinzi wa nyumbani tu .ila kuhusu kazi usiwategemee yaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]geni anamuendekeza
umeona anamdekeza sana wa nn sasa utafkili haumlipi
haipotei kinaongezeka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ladha haipotei? Kwa kazi gan anayofanya had afanye hayo
Nijue kupanga meza kwani mi demu?nyani hujui kupanga meza vyakula expensive but havitamanishi yaani
Na kula cha kesho yake zaidi ya hapo sili kwakweli
kweli ni changamotosema wadada ni changamoto ina bidi tu uwe mpole upate mlinzi wa nyumbani tu .ila kuhusu kazi usiwategemee yaani
tatizo kwangu hapa kazi chache na hivi sina time ndo wanalemaa kabisaa...tafuta mwingine atakaekuheshimu ajue wajibu wake wa kazi ajue nn kimemleta mjini sio kuamka sa 3 kama yy ndio mwenye nyumba
najua mpenzi ila ukipata mtoe huyoSana tu jaswa sie wenye ajira uchwara mm nsingekua na kazi nisingeweka binti kwa kweli nasubiri wakue wote shule siweki binti
switie shunie mabinti wanasumbua dear
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hamna kazi sawatatizo kwangu hapa kazi chache na hivi sina time ndo wanalemaa kabisaa...
mtu anakuja vzr baadae anachange
Huwa unakula nje...kwenye baa au kwenye migahawa?Na kula cha kesho yake zaidi ya hapo sili kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]usinitanie unless unambie mange kakutuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haipotei kinaongezeka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]usinitanie unless unambie mange kakutuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ubunge gani anajipa tu matumaini [emoji28] yaan nahisi atakamatiwa uko uko ndani ya ndege kabla hajafika apa
Glory be to God. Shukrani sana mpendwa.Hongera sana kwa watu kutambua uwepo wako.