Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

kumbe bhoke baba yake alimchukua bna ?
Ndio alimkazania mama yake baada ya kumuona mama hasomeki busy Na mitandao Na ndio maana anawalisha kina Keanu Na kenzo leftovers coz hana mpishi anajidai kua busy Na kazi kunamfanya afanye hivo Kwa kazi gani anayoifanya haswaaaa?
 
bila kumuamsha haamki siku za shule naamka SAA kumi na nusu namuandaa mwanangu mwenyewe school bus inapita saa kumi na moja nampeleka mwenywe

ikitokea nimesafiri mwanangu gari inamuacha..bila kumwamsha kwa simu
geni acha ujinga unamlea lea uyo mdada wako ndio mana
 
huyo dada umefunga nae ndoa? si ubadilishe? ila shoga na wewe mtoto anasoma shule ya kuamka saa kumi kwa nini? si umpeleke shule ya karibu? yupo jeshini au ? hyo ni kumdhulumu mtoto mamii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikoshaaa
shule ya karibu hapa Hamna mamii...
 
huyo dada umefunga nae ndoa? si ubadilishe? ila shoga na wewe mtoto anasoma shule ya kuamka saa kumi kwa nini? si umpeleke shule ya karibu? yupo jeshini au ? hyo ni kumdhulumu mtoto mamii
umeona anamdekeza sana wa nn sasa utafkili haumlipi
 
Ndio alimkazania mama yake baada ya kumuona mama hasomeki busy Na mitandao Na ndio maana anawalisha kina Keanu Na kenzo leftovers coz hana mpishi anajidai kua busy Na kazi kunamfanya afanye hivo Kwa kazi gani anayoifanya haswaaaa?
na kazi yake ilikua kumpiga picha na kulea watto nilisoma comment kwa milly kuna mtu aliandika bhoke alitaka mpeleka police mama ake bada ya mama mwanzo kugoma kumpeleka kwa baba ake
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani Shualina we hulagi viporo wewe?

20161122_222335.jpg
 
Back
Top Bottom