Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

Yaani wewe vigezo huvioni hapo: kuelimisha, kuburudisha, kuonya, na kutia nguvu wakati wa kukata tamaa.

Labda tuwaulize na wao kama wanaendana na vigezo vya huyu bwana ingawaje ni kweli wengine wametoa threads za darassa lenye views zaidi ya 150,000.

[HASHTAG]#heaven sent;[/HASHTAG] [HASHTAG]#faiza foxy; [/HASHTAG]
[HASHTAG]#nifah[/HASHTAG] [HASHTAG]#geniveros[/HASHTAG] [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] [HASHTAG]#evelyn salt[/HASHTAG] [HASHTAG]#atoto[/HASHTAG] [HASHTAG]#afrodenzi[/HASHTAG] [HASHTAG]#miss natafuta.[/HASHTAG]
thank uuu
 
Siku ingine mpk saa tatu km usipomuamsha ndo anaamka na hapo anaanza usafi nikiwa kazini lunch saa kumi kila siku!

naongea mpk nakaa kimya mwenzenu!
Acha kumdekeza aamke sa 12 au saa 1
 
Weeee kiporo kitamu bana.

Pilau lililolala hakina mpinzani.

Maharage ya nazi yaliyolala hayana mpinzani.

Acha maskhara bana.
hatuzungumzii kilicholala siku moja mkuu wee! seven day !
ni kweli kiporo huwa kitamu sana kama ulivosema pilao,kisamvu, maharage nk ila sio kishinde siku nzima na ndo maana mwisho wa kula kiporo ni masaa 12
 
alidhani kakutana na bill gate.nasikia harusi yake alliagiza viti vya kukalia kwenye party yake dubai na harusi ilivoisha akavigawa bure .lance alikuwa na hela kipindi hicho mamaa mashauzi akazichezea .nakumbuka ile lv bag yake alisema kanunua m 21 sinaga hamu nae
Yale maduka yake ya nguo yalishiaga wapi
 
Acha kumdekeza aamke sa 12 au saa 1
bila kumuamsha haamki siku za shule naamka SAA kumi na nusu namuandaa mwanangu mwenyewe school bus inapita saa kumi na moja nampeleka mwenywe

ikitokea nimesafiri mwanangu gari inamuacha..bila kumwamsha kwa simu
 
hatuzungumzii kilicholala siku moja mkuu wee! seven day !
ni kweli kiporo huwa kitamu sana kama ulivosema pilao,kisamvu, maharage nk ila sio kishinde siku nzima na ndo maana mwisho wa kula kiporo ni masaa 12
Mwisho wa kiporo masaa 12?

Ah wapi....watu huwa tunakula viporo hadi vya siku mbili na huwa ni vitamu balaa na hakuna madhara yoyote yale.
 
bila kumuamsha haamki siku za shule naamka SAA kumi na nusu namuandaa mwanangu mwenyewe school bus inapita saa kumi na moja nampeleka mwenywe

ikitokea nimesafiri mwanangu gari inamuacha..bila kumwamsha kwa simu
huyo dada umefunga nae ndoa? si ubadilishe? ila shoga na wewe mtoto anasoma shule ya kuamka saa kumi kwa nini? si umpeleke shule ya karibu? yupo jeshini au ? hyo ni kumdhulumu mtoto mamii
 
Back
Top Bottom