Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
asante nshapoa mama!pole dear
asante nshapoa mama!pole dear
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hivi zile nguo zake ujue siamini kama alizigawaNa bado kuokota makopo tu Sasa kibongobongo kuokota machupa n Dili alipo sjui itauaje
Shualina hujajibu swali bana.nakula kinachobaki home
ila milly kiboko yakeNawafatilia vizuri yeye Na Milly
Ngabu sikuhusu kiporo nakula ninachopika mwenyewe nikiwa bar sijawahi kubeba mmShualina hujajibu swali bana.
Nimekuuliza kamq unakulaga nje kwenye baa au kwenye migahawa....
Sintah alikutukana??anajua sana na nshatukanwa sana mie kwa sintah wee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka juzi hiyooo..
na kwenye blog yake!!
hawana jipya
Karibu mamaI'm very grateful for this (and everything). You are one of the best darlin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti zinapelekwa goodwill nahisi aliuza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hivi zile nguo zake ujue siamini kama alizigawa
Kabisa ana anavyojiaminiila milly kiboko yake
jamaan na mm kaniblock tena ilikua kipindi anatukanana na milly nahisi nitakua nimecomment vibaya kwa milly nimekula block ila inaniuma acha tuSintah alikutukana??
Ulimfanyaje tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me Mrs majizzo kaniblock Na sijawah kumkoment popote lol roho inaniuma naishia kusomaga Kwa lulunation Na kwengine
misukule ya mange ilinitukana kwa sintahSintah alikutukana??
Ulimfanyaje tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me Mrs majizzo kaniblock Na sijawah kumkoment popote lol roho inaniuma naishia kusomaga Kwa lulunation Na kwengine
Usinitende hivyo baby, moyo wangu hawajawahi kumuwaza mwingine tofauti na wewe, hayo mengine ni mbwembwe.shukran tatizo unatamani kila mtu sasa hivi nakugawa
wanalipwa na modsWanalipwa?
[emoji8] [emoji8] thank u dearAm humbled naanzaje kuacha kukushuru DJ ulieniokoa siku zile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binafsi Mimi list yangu n hii
1. Heaven Sent
2. niffah
3.@evelyn salt
4. Miss Natafuta
5. @genivorous
6. Madame B
7. scorpio me
ha ha ha inawezekana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti zinapelekwa goodwill nahisi aliuza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! kweli hii list si ya mchezo mchezo,...hadi Caster Semenya kaingia top ten?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utoto. Angeandika baba yako asingenisahau.
Sanaa na anajua udhaifu wa mangeKabisa ana anavyojiamini
sio mbwembwe hizo ni tamaa yaan umenishindaUsinitende hivyo baby, moyo wangu hawajawahi kumuwaza mwingine tofauti na wewe, hayo mengine ni mbwembwe.