Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka!!! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya , mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu.

Angalia wimbo wa JEJE haya Monday mwenyewe hajui maana ya jeje. Ndani ya wimbo jamaa anamini kuimba matusi ndio kunam bust mashairi ya kitoto sana hayana maneno ya kumfikirisha mtu. Ludi kwenye nyimbo kama baba lao au kanyaga. Yaani mashairi ya kawaida sana sema wanayaforce masikio ya watu kuyasikiliza kwa muda mrefu dakika za mwisho zinaishia kuwa nyimbo za watoto....

Nahisi uwepo wa Tembo pale ulikuwa na msaada mkubwa sana kwa Mondy kiuandishi. Na ndio maana haya huyu Zuchi katoka kikawaida sana, kakosa mwandishi japo ni mkali sana wa kuimba, Amino nakwambia kama harmo angekuwa bado yuko pale Zuchi angetoboa mapema sana ila kwa sasa itabidi itumike nguvu kubwa sana kama iliyotumika kwa Mboso alafu watu wanakuja kumuelewa baadae..... Povu luksa ila tazama kwa jicho la Muziki utaona


Diamond ni sawa tu na kakake Zitto, wote ni opportunists. Kwa kweli Diamond kabakia jina tu kwani hana nyimbo nzuri, yupo anaganga tu, akae chini awaachie vijana wenye vipaji..
 
Screenshot_20200410-115636_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey shut the fvcker.. Kuna kitu inaitwa kutengeneza brand. Ukishakuwa na brand, brand ndo inakubeba. So hata uimbe kiitikio tu wimbo mzima usiwe na verse hata 1 bado utabamba tu. We unaongelea mondi wakati Mrs Nice alikuwa anaimba michezo ya watoto ila alibamba Africa nzima. Juma Nature kaimba vitu kibao havieleweki ila hamna aliekuwa anamfikia kwa kupendwa enzi zake, leo unatoka unakotoka na hoja ligi zako za kishamba unaanza kulinganisha watu. Kama Harmo aka mmakonde anaeionea aibu papuchi ya mzungu(ameshindwa kumpiga mimba tukapata kishombe shombe) alikuwa anamtungia nyimbo mondi si itaonekana tu kwenye views YouTube, mbona aliekuwa mtungiwaji bado ana mburuza mtungaji? Na dunia ya sasa ni ya anaejitangaza sana na kufanyiwa promotion kubwa ndo atakae pendwa haijalishi anaimba pumba au machicha. Nina karibu ngoma 30 za Ferre Gola, 50 za Fally Ipupa na 160 za Koffi Olomide sijui hata wanaimba mapenzi, siasa au ushoga maana sijui lingala, kasai wala kifaransa ila nawapenda. Next time usije na haya machicha hapa
We jamaa kuwa na huruma dah umempa shule ya maana jamaa .wote tunapenda nyimbo ya kuch kuch hotae
 
Binafsi sijawahi kusikiliza nyimbo za Diamond zaidi ya zile za zamani kama UKIMWONA,KESHO na NATAKA KULEWA basi,ila minyimbo yake mingine imekaa kusikiliza watoto tu tena wale wa primary na form 4 B
 
Huwezi kulinganisha na anachoimba Mondy , Mondy Mondy ikitokea msanii wake ametunga ngoma Kali ni lazima iwe yake na ufunge mdomo wako labda akikuheshimu kdgo atakushirikisha... Angalia ngoma kama "wenye wivu wajinyonge" lilikuwa ni wazo na ngoma ya Vany boy pia iyena iyena na nyingine nyingi. Nyimbo zote Mondy alizoshirikishwa kimataifa Yale mashairi ni utunzi wa Harmo akishirikiana na Vany boy ,Mondy ni kidogo sana. Cheki yope asilimia kubwa alipoimba Mondy ni uandishi wa Vanny haya mile kipande cha " tunanyapia nyapia" sikiliza vizuri ni sauti ya Vany boy na sio diamond. Ila wimbo ni enos b ft diamond
Unaweza kuthibitisha madai yako?
Uimbaji wa Lavalava AKA Kikaswida Diamond atauwezea wapi?
 
Nyimbo na Harmo ni motochini kusema kweli.

Zinagusa hisia na kutuliza nafsi unapozisikiliza sio kama za Mondi makelele kibao kama mpiga debe
Show gani kubwa sasa Tanzania utaenda kuwaambia watu nyimbo za kulalia wakuelewe?

Rubby mwenyewe akienda kwenye matamasha anakaza mwenye utaratibu na mahaba yake.
Hapa ipigwe jeje kule Bed room pale Dodo kwa akilo yako wapi kutajaza?
 
mleta uzi ni chizi hata msihangaike nae, ikiwa mondi kajulikana dunian kabla hata mmakonde kujiunga wcb je nani alitunga hizo nyimbo??

nyie ndo mnampoteza harmo kwa kumpa sifa za kijinga, saivi anastress album hakuna ilichofanya alafu mnampigia mapambio badala yakumshauri atulizane aandike nyimbo nzuri ateke mashabiki

nakwambiaje tangu atoke wcb harmo kawa garasa kupita kiasi na ashaanza kujuta na asipoangalia atapotea, miluzi mingi humpoteza mbwa porini ndicho anachopitia

yeye alivoambiwa kuanguka alidhan labda itatokea siku1 tu, no anadrop taratbu maana upande wa pili kumejaa unafiki mwingi kuliko support ya kweli na ndicho kilichompata hata mavoko
kwa music ya Bongo harmo hawezi kushuka ana fedhaaa
 
Show gani kubwa sasa Tanzania utaenda kuwaambia watu nyimbo za kulalia wakuelewe?

Rubby mwenyewe akienda kwenye matamasha anakaza mwenye utaratibu na mahaba yake.
Hapa ipigwe jeje kule Bed room pale Dodo kwa akilo yako wapi kutajaza?
Mimi nitachagua Bedroom
 
Back
Top Bottom