Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

[QUOAndy "carcinoma, post: 34932127, member: 419893"]
Nadhani atakuwa katumia miezi kama minne kuandika album wakati wenzake wanatumia hata miaka miwili..
Ndio maana nyimbo nyingi zinafanana kingereza kile cha "i gonna die for u". Atakua katunga ngoma zaidi ya 10 kwa muda mchache.
[/QUOTE]
Uyo ndy tembo asa
 
Chuki ni mbaya sana.. hivi unajua kama i miss you ulikuwepo hata kabla harmo hajaingia WCB??

Btw mimi binafsi naona Harmo ndio kashuka sana kiuandishi .. ukimfananisha harmo wa Atarudi (hii ni ngoma na nusu) na huyu wa uno sijui haujanikomoa utaona kuna tofauti kubwa sana..

Hata hii album yake kuna nyimbo mbii tu kaandika vizuri (mama na mpaka kesho) nyingine ni takataka kabisa ndio maana album imebuma.
mpaka kesho kwangu mimi ni wimbo bora zaid kwenye album yake
 
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka!!! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya , mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu.

Angalia wimbo wa JEJE haya Monday mwenyewe hajui maana ya jeje. Ndani ya wimbo jamaa anamini kuimba matusi ndio kunam bust mashairi ya kitoto sana hayana maneno ya kumfikirisha mtu. Ludi kwenye nyimbo kama baba lao au kanyaga. Yaani mashairi ya kawaida sana sema wanayaforce masikio ya watu kuyasikiliza kwa muda mrefu dakika za mwisho zinaishia kuwa nyimbo za watoto....

Nahisi uwepo wa Tembo pale ulikuwa na msaada mkubwa sana kwa Mondy kiuandishi. Na ndio maana haya huyu Zuchi katoka kikawaida sana, kakosa mwandishi japo ni mkali sana wa kuimba.

Amino nakwambia kama harmo angekuwa bado yuko pale Zuchi angetoboa mapema sana ila kwa sasa itabidi itumike nguvu kubwa sana kama iliyotumika kwa Mboso alafu watu wanakuja kumuelewa baadae.

Povu ruksa ila tazama kwa jicho la Muziki utaona
Nasubutu kusema unachembe zaushbik wakipumbav sana kwasababu hakuna hoja ya msing ulio iongea hapa zaid ya ushabik wakipumbav jitafakar unasemea nyimbo zenye ujumbe mzuri sasa tazama cm yako je kunanyimbo zenye ujumbe mzur kwenye cm yako ndipo utakapo lipata jibu ya kuwa wew nimtu gan.
 
Back
Top Bottom