Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi

Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant

Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii

Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too

Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon

Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature

Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....

Kama ujaelewa nambie
Nyie ndiyo kwenye mtihani mnazungusha kifalafala .
Hebu tueleze maana ya:
1. Chiropractic in plants vs chiropractic in medicine
2. Limao ni "Monodycotyledon" -una maanisha nini?
3. Basicity ya limao vs acidity ya ndimu- in words and in numbers
 
Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?
Ndimu ni ndogo na ina mviringo
Limao ni kubwa na halina mviringo

Ndimu ni kali sana (ina uchachu zaidi) kuliko limao

Ukija kwa wasomi hata national zao wanazo andika sijui Ndimu ina B12.7 ndo utaona utofauti wake.

Mfano halisi ni sawa kusema kuna tofauti gani kati ya Lucas mwashambwa Na Tlaatlaaah. Nadhani utasema Lucas hububujikwa na machozi zaidi kuliko Tlaatlaaah.

Ni hayo tu
 
Nyie ndiyo kwenye mtihani mnazungusha kifalafala .
Hebu tueleze maana ya:
1. Chiropractic in plants vs chiropractic in medicine
2. Limao ni "Monodycotyledon" -una maanisha nini?
3. Basicity ya limao vs acidity ya ndimu- in words and in numbers
Kwenye mstari wa mwisho nimemuelewa ila huko juu kapiga chafya japo mimi sijafika huko kwenye deal na plant
Mimi ukisema plant basi najua unazungumzia dhahabu(uchenjuaji)

Au tusema hivi

PROCESS PLANT:Is the building used to process Gold by using different chemicals in order kupata dhahabu safi ilichomwa na moto.

Ni hayo tu
 
Limao ni kubwa ndimu ni ndogo kiumbo.
Limao linazalisha maji mengi, ndimu huwa na maji machache hiyo ni kutokana na utofauti wa udogo na ukubwa!.
Baada ya kujibiwa na wadau nadhani utakua umejua na tofauti kati ya CHUNGWA na CHENZA
 
Kwenye 'class' nahisi kama ni 'kamba', mti uwe 'mono' labda kama unaongelea mnazi!

Kuna point niliitaka lakini nayo umeibaraza, haujaisaga ikalainika: ... 'Ndimu has acidic while limao has? in nature!... so has what kijana?

Usiponiridhisha kwa majibu ya kisayansi itabidi nipekue pamphlets mwenyewe sasa!

Na siku hizi tumerahisishiwa ukiigusa tu AI (chat gpt) umeula, inatiririka kuliko hata mwalimu, siwezi kosa jibu la uhakika.
Nakujibu as botanist kuna mambo yapo deep so mlikua mnapewa elimu partially kuna tofauti kadi ya acid na acidic ina nature mkuu
 
Nakujibu as botanist kuna mambo yapo deep so mlikua mnapewa elimu partially kuna tofauti kadi ya acid na acidic ina nature mkuu
Wapi nimebishi kuhusu acid na acidic?

Nilichohoji kuhusu ndimu kuwa katika kundi la monocodiledonous plant!
 
Nyie ndiyo kwenye mtihani mnazungusha kifalafala .
Hebu tueleze maana ya:
1. Chiropractic in plants vs chiropractic in medicine
2. Limao ni "Monodycotyledon" -una maanisha nini?
3. Basicity ya limao vs acidity ya ndimu- in words and in numbers
Ndio maana nikaanza na dfn ya botany l..
Mkuu kuna mambo huku tunasoma deep hii sio biology..

Hapa nipo kwa plant kingdom usitake nianze kufunguka mambo hapa ukabaki unashangaa..

MFANO unaelewa... chiropractic kwa plant ni kusoma how plant tissue form i means xylem na pholem

Limao ni mono.. unavijua wewe mono ni zile zenye mbegu moja but hapa tuna talk in class embryology term..

Kuhusu acidity na basic ya limao na ndimu bado sija deep zaidi ila soon ntakujibu maana ili ku determine acidic au basic ya kitu ni mpaka tusome soil
 
ndimu ni ndogo na limao ni kubwa. Kuna jamaa alinunua malimao akaanza kuyala akidhani ni machungwa. Badala aone utamu akaona uchachu na kuhisi huenda ameuziwa machungwa yasiyoiva vema
Usiseme jamaa, mtaje wazi kua ni Yoda
 
Back
Top Bottom