Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Ndio maana nikaanza na dfn ya botany l..
Mkuu kuna mambo huku tunasoma deep hii sio biology..

Hapa nipo kwa plant kingdom usitake nianze kufunguka mambo hapa ukabaki unashangaa..

MFANO unaelewa... chiropractic kwa plant ni kusoma how plant tissue form i means xylem na pholem

Limao ni mono.. unavijua wewe mono ni zile zenye mbegu moja but hapa tuna talk in class embryology term..

Kuhusu acidity na basic ya limao na ndimu bado sija deep zaidi ila soon ntakujibu maana ili ku determine acidic au basic ya kitu ni mpaka tusome soil
Shule au chuo gani ulisomea hiyo botany ili nimpeleke mwanangu awe kipanga kama wewe?
 
Limao ni kubwa ndimu ni ndogo kiumbo.
Limao linazalisha maji mengi, ndimu huwa na maji machache hiyo ni kutokana na utofauti wa udogo na ukubwa!.
Kwamb limao ni mdogo wake ndimu kwa ufupi
 
Hebu kidogo tudokeze sababu za kujiita"poor brain"
Tuanzie hapa
Kuna kitu kinaitwa vibration phantom syndrome.. hi ni hali ya kuhisi kama simu yako ina vibration kumbe hakuna kitu kama hicho..

Huu ugonjwa uweza kuathiri sehemu mbali mbali za ubongo ikiwepo hypothalamus ... Hapa tunasema termination zote za hormone lazima ziwe affected hii upelekea mtu kuwa overthinking... Sasa ikiwa at highest level unapata ugonjwa ambao mpaka sasa wameshindwa kuuweka ni syndrome au manipulate phantoysy ndo wakasema hi ni ""Poor brain ""
 
Hiyo ni balaa.
 
Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi

Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant

Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii

Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too

Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon

Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature

Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....

Kama ujaelewa nambie
Sitoagi like kizembe
 
Ndimu ni ndogo limao ni kubwa
Ndimu ni circle limao ni oval
Ndimu ni soft ganda lake limao ina manundu
Aroma ya ndimu inavutia kuliko lmao
Ndio ni kiboko ya shombo
 
Back
Top Bottom