Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,195
- 10,821
Specie differencesKuna tofauti gani ya limao na ndimu?
Specie differencesKuna tofauti gani ya limao na ndimu?
Hapa umesema ukweli mtupu.Ni kama Rushwa na Takrima
Msiweke mavitu huko chini, kutaanza kunuka 🤣🤣🤣Both limau and ndimu zikinyunyiziwa kwenye mbususu basi mbususu inataiti kweli kweli 😋 hadi unasema nimekutana na bikira.
Kamwae usidharau moja kati ya matunda haya.
Mshangazi dot com
Hahaha, washauri wanawake wenzako.Msiweke mavitu huko chini, kutaanza kunuka 🤣🤣🤣
Washamaliza hapo juuMpishi Mwachiluwi hebu ukuje useme neno.
Umejibu kisupa staaa utafikiri sio wewe wa mbagala kwa mbiku 😂😂 anyway asante botanist 💪Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Mbagala majimatitu huko ahahaha so poa mkuu mimi ni moja wa watalamu waliopo mbioni kupotea hapa tanzaniaUmejibu kisupa staaa utafikiri sio wewe wa mbagala kwa mbiku 😂😂 anyway asante botanist 💪
Usinisahau kwenye ufalme wako, sina shaka na future yako kiongozi sisi ndugu bana 🤝Mbagala majimatitu huko ahahaha so poa mkuu mimi ni moja wa watalamu waliopo mbioni kupotea hapa tanzania
Umejipamba kwenye introOky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Mkuu bana..Umejipamba kwenye intro
Mbagala mabegani mkuuUsinisahau kwenye ufalme wako, sina shaka na future yako kiongozi sisi ndugu bana 🤝
Wahaya ndimu ndio limao na limao ndio ndimu.Ambayo huwa nafikiria ni malimao mara nyingi tu naona watu wanaita ndimu na zile ambazo huwa nafikiri ni ndimu huwa naona watu wanaita malimao tena! Inakuwa mvurugano sasa😁
HapanaMbona yote haya waswahili wanaita ndimu?
Limao limepoa ndimu imechachuka!Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?