fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,166
Sio kudharau nakwambia kuwa huyo jamaa ndio profesa bingwa katika fani hiyo ya botany na zaidi ya hapo ni ndugu ya marehemu mama yangu siwezi kumdharau mjombaMkuu acha kudharau kada za watu
Sio kudharau nakwambia kuwa huyo jamaa ndio profesa bingwa katika fani hiyo ya botany na zaidi ya hapo ni ndugu ya marehemu mama yangu siwezi kumdharau mjombaMkuu acha kudharau kada za watu
Sawa sawa mkuu.Suo kudharai nakwambia kuwa huyo jamaa ndio profesa bingwa katika fani hiyo ya botany na zaidi ya hapo ni ndugu ya marehemu mama yangu siwezi kumdharau mjomba
AsanteSawa sawa mkuu.
Karibu sana mkuu nipo TFDA hapa field
Ladha nitofauti hata muonekano Kuna moja Ina uchachu kidogo nyingini nichachu kabisaHakuna tofauti
acidic vs acidityKumbe limao sio acidity
Sasa unasemaje wewe ni Botanist halafu humjui Prof Juma Kapuya Mzee wa ndogo ndogo.Mkuu acha kudharau kada za watu
Mungu fundiOky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Namjua nilikua nazingua tuSasa unasemaje wewe ni Botanist halafu humjui Prof Juma Kapuya Mzee wa ndogo ndogo.
Mbona simple sana mkuu..Mimi nimeshindwa kutofautisha mtu wa kisamvu na mtu wa mhogo.
Thank you for your enlightenmentMbona simple sana mkuu..
Mti wa muhigo una utomvu mzito while mti wa kisamvu una utomvu mwepese
Kwa macho mti wa muogo una majani darky sana while mti wa kisamvu una light majani
Karibu mkuu..Thank you for your enlightenment
Uongo 😁😁😁😁Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Uongo wangu nn hapo...Uongo 😁😁😁😁
Mbona limao lina turn blue litmus paper kuwa redKumbe limao sio acidity
Dicot na monocot ______limao na ndimu zote ni dicot..Uongo wangu nn hapo...
Umeingie kichwa kichwa mkuu..Dicot na monocot ______limao na ndimu zote ni dicot..
Zote ni acidic in nature hakuna base hapo
Zipo na citric acid😁
😂😂😂😂ndimu ni ndogo na limao ni kubwa. Kuna jamaa alinunua malimao akaanza kuyala akidhani ni machungwa. Badala aone utamu akaona uchachu na kuhisi huenda ameuziwa machungwa yasiyoiva vema