binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,391
- 41,845
😅😅😅 Wewe bana.Ambayo huwa nafikiria ni malimao mara nyingi tu naona watu wanaita ndimu na zile ambazo huwa nafikiri ni ndimu huwa naona watu wanaita malimao tena! Inakuwa mvurugano sasa😁

Malizia neno in natureKumbe limao sio acidity
Pia tofauti ya KIMATAMSHI na KIMAANDISHILimao ni kubwa ndimu ni ndogo kiumbo.
Limao linazalisha maji mengi, ndimu huwa na maji machache hiyo ni kutokana na utofauti wa udogo na ukubwa!.
Ndimu ni aina limao ambalo liko siriasi na maisha yakeKuna tofauti gani ya limao na ndimu?
Hahaha!Limao lina ngozi kama ya chura, ndimu kama ya jongoo😅
Maswali ya kibwege sasa hayaKuna tofauti gani ya limao na ndimu?
Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?
We ulisikia wapi ?Hahaha!
Umenikumbusha hadithi moja kati ya chura na jongoo na mafuta ya mnyonyo.
Ni hadithi mkuu, enzi za utoto.We ulisikia wapi ?
Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
NduguMpishi Mwachiluwi hebu ukuje useme neno.
Kwenye 'class' nahisi kama ni 'kamba', mti uwe 'mono' labda kama unaongelea mnazi!Oky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Prof juma kapuya,the botanistOky naweza kukujibu ki bailogy zaidi
Kwanza ujue maana ya botanist
Is the person who study plant
Alafu botany.. is the branch of science which deals with the study of plant
Tuje kwenye swali lako..
Tofauti ya limao na ndimu ni hii
Ndimu ni kingdom plantae while limao ni kingdom plantae too
Ndimu ni class dicotyledonous while limao ni monodiecotyledon
Ndimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature
Ndimu has acidic in nature while limao has basic in nature....
Kama ujaelewa nambie
Hizi rangi unazitazama wapiNdimu have chromoplasts with green in nature while limao have chiropractic with green yellow ina nature