Today's relationships

Kama ulivyosema "ndivyo nilivyo"

Btw sina lazima ya kujibiwa, unaweza kaa nalo jibu lako

Ulini-qoute, I am not in nature ku-ignore mtu anataka jibu kwangu.... Hivo basi kama ungeipotezea (kama inavotakiwa ufanye kwa hii post) Then it would have been OK. But sio kuja with a conclusion juu yangu "Ukiona mtu anazunguka mbuyu kwa sana jua hana jibu" ukategemea nikae kimya hali the comment is the other way round.
 
images
....siku hizi mnaoneana sana ee? miaka yetu heshima, adabu na kuaminiana kulikuwapo...hakuna ushawishi wa kufungua barua isiyokuhusu, na hizi simu tulikuwa tunaweka makufuli kupunguza gharama tu..
.
images
 
Ulini-qoute, I am not in nature ku-ignore mtu anataka jibu kwangu.... Hivo basi kama ungeipotezea (kama inavotakiwa ufanye kwa hii post) Then it would have been OK. But sio kuja with a conclusion juu yangu "Ukiona mtu anazunguka mbuyu kwa sana jua hana jibu" ukategemea nikae kimya hali the comment is the other way round.

I had an opinion, kwa nini niipotezee?!
Wapi nilisema nategemea ukae kimya?

*btw hanipangii mtu cha kufanya JF hii kama Mimi nisivyompangia yoyote
 
Mi huwa naona kama mmefikia hatua ya kugusana, kwanini isiwe simu. haipaswi kuwe na siri kati yenu, hapo ndo huwa tunaharibu. Mi nitashika simu yako, shika ya kwangu fanya unavyotaka, ila nikikukamata kuwa unanidanganya... unaelewa jibu lake
 
I had an opinion, kwa nini niipotezee?!
Wapi nilisema nategemea ukae kimya?

*btw hanipangii mtu cha kufanya JF hii kama Mimi nisivyompangia yoyote

hahahaha.... Gaijin.....

Then why do you always have to manipulate meanings...
Kwanini kuzunguka? Kulikua na ugumu gani kujibu swali?

Alafu of all people.... Nani ampangie Gaijini la kufanya? Hajipendi?
 
Duh yaani kimkono kimeenda kwenye hiyo URL naambiwa "this domain is for sale" wakati nilijua ndo ile web page ya kuwasaidia wabeba mabox
Heri ww for sale....mimi imesomeka...'never existed'
 
hahahaha.... Gaijin.....

Then why do you always have to manipulate meanings...
Kwanini kuzunguka? Kulikua na ugumu gani kujibu swali?

Alafu of all people.... Nani ampangie Gaijini la kufanya? Hajipendi?

Sikutaka kujibu suali kwani lazima?

Na hayo mengine ya "kwanini na manipulate meaning..." sitajibu kwa sababu silazima
 
I wont touch his phone kwa kuwa tu sijisikii kuishika but not kwa kuwa naogopa kuumia roho!!
Namuamini na siku nikijisikia kuishika akaja juu (of which I do not expect) ndo nitayafungua masikio ya moyoni mwangu.
 
What the hell is privacy in a marriage? Mweh!
Picking the discussion from where I find it: Mariage is a SOCIAL institution. Ila ukweli ni kwamba you are still two separate INDIVIDUALS na kila mtu anahitaji some personal space inside and outside. Tuache mbali swala la sim, unaweza kua na kiti fulani that you consider "yours" na hata spouse wako akikalia you can ask him/her to seat on another one sababu unataka kiti 'chako'.
The same applies to the phone. You might consider your phone like you considered your diary when you were in early teenage (sijui kama wanaume wanakua na hii but wasichana wengi ninao wajua walikua nazo). you might not have anything secret in it but you just feel like it is too personal to be shared.
That said, I have to admit that binafsi my husband has free access to my phone, email and other accounts.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom