Today's relationships | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Today's relationships

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by elmagnifico, Dec 19, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Today's Relationships: You can touch
  each other, but not each other's phones.
  Hii imekaaje?
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  I think imekaa poa tu,kwanini ujitafutie presha ambazo siyo za lazima...Kama ana-cheat utajua tu za mwizi 40!
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahah!
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  bolingo telefoni.........hahahahaaaa.........ukifuatilia nyendo za nyuki kamwe asali hutakula!!!!!
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  hahaha so ina maana watu tunaogopa kujua ukweli wa mambo ndo maana hatufuatilii mambo ya wenzetu?
   
 6. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nakwambia bora cha kusikia kuliko cha kuona mwenyewe...! Halafu it's not good basi tu,kuchukua simu ya mwenzio specifically kwaajilili kungia inbox,outbox,draft,received calls,dialled calls..huh! mwingine hadi phone book maninaaaa...sasa ndo nini,inaonyesha jinsi gani humuamin mwenza wako tena live..#Mtu unakuwa huna uhuru na simu yako! Wewe jiamini tu kama ni wako ni wako tu...
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi kbs,
  Yann kuishi kwa stress,
  Yangu akitaka aangalie tu,ya kwake wala sitaki kuwa karibu nayo acha kuigusa lol!
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  simu yake yanini? Labda nyie wenye ndoa,sisi wengine ni burudanii tu..isitoshe mimi nina pin code za kuzuia simu kuingia nikitaka.
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hujambo Canta,hongera maana naona uki stick kwa mwanaume mmoja hu cheat.
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Binafsi nilishagundua simu zinachangia sana kuharibu mahusiano mengi,
  Na pia sion sababu ya kupekua simu ya mtu ili kujua anaowasiliana nao,
  Km yy anaiba atajua yeye na mungu wake,
  As long as natimiza wajibu wangu km mwanamke,
  Na namwamini kwa kile ninachokipata,kwake am the only one to him,
  Na km unajiamin wala hutahangaika na simu zake,coz uko satisfaidi.
   
 11. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  hahaha sasa swali langu kama hakuna la kuficha kwanini mtu aogope simu yake kushikwa na mwenzake?
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sijambo kbs Bishanga,
  Nikishikwa huwa nashikamana babangu,
  Na raha moja huwa najiamin na kumwamini mwenzangu,
  N maisha ya amani nikuaminiana tu,
  Na akiamua hata nikikagua cm yake mara 100 kwa siku bado sitaweza kumzuia.
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  nakuaminia Canta,kaza buti kwenye msimamo huo na Mungu atakusaidia.
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante bishanga,
  Si unajua haya mambo wala hayahitaji kutumia nguvu,
  Ni kuwa na iman na kuicha busara ichukue nafasi yake.
   
 15. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Umenena my sista! Kama ni wako ni wako tu...ukianza kupekenyua ma-inbox utataka kuhoji kila sms aliyotumiwa mwishowe akupe majibu ya karaha uanze kujuta...Ya nini hayo!!? Relax ur heart n mind..tujiamini!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Jamani kumnyima mwenzi wakio kushika simu yako kisa unacheat ni lack of professionalism
  How? why?
  Kwa nini umnyime mwenzio usingizi kisa simu
  Hivi kweli problem solving imeishia hapo?
  Kwanin huyo cheater wako umemficha kwamba una komited mahusiano

  Naomba nianzishe semina elekezi ya simu
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,068
  Likes Received: 6,522
  Trophy Points: 280
  sisi wazee tutachangia hii baadae.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Inbox ya simu kitu gani?
  Mtu anaingia inbox ya mwili wako?
  Hebu tuweni siriaz na wenza wetu
  Ila mie ni wa mwaka 1947
  Sielewi kabisa kwenye kumnyima mwenzi wangu simu, na hainiingii
  Hata kama mme wako ni jambazi, ndo jambazi lako
  lazima ujue ili ijue unajipangaje naye
  Hata kama ni mchwi ndo wako tena huyo

  Hii ni pasua kichwa
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Simu yangu achukue hata wiki!Sistuki!
   
 20. huzayma

  huzayma Senior Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani uko kama mimi, dah! hadi raha, maisha haya stress tele hewani, kisha ujiongezee nyengine za kujitafutia, k'ka! kwa kitu gani??
   
Loading...