Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Tabu yann my dia,yaani uko kama mimi, dah! hadi raha, maisha haya stress tele hewani, kisha ujiongezee nyengine za kujitafutia, k'ka! kwa kitu gani??
Ukijiamin unaishi kwa raha zote lol!
Tabu yann my dia,yaani uko kama mimi, dah! hadi raha, maisha haya stress tele hewani, kisha ujiongezee nyengine za kujitafutia, k'ka! kwa kitu gani??
Inbox ya simu kitu gani?
Mtu anaingia inbox ya mwili wako?
Hebu tuweni siriaz na wenza wetu
Ila mie ni wa mwaka 1947
Sielewi kabisa kwenye kumnyima mwenzi wangu simu, na hainiingii
Hata kama mme wako ni jambazi, ndo jambazi lako
lazima ujue ili ijue unajipangaje naye
Hata kama ni mchwi ndo wako tena huyo
Hii ni pasua kichwa
Today's Relationships: You can touch
each other, but not each other's phones.
Hii imekaaje?
Nini inbox ya mwili ..engine kabisa!!!
Mimi najiamin..akitaka kuchukua simu achukue na aingie kote huko lakin sitaki iwe daily routine. Hata mimi najisikia vibaya,eti kila tukionana kitu cha kwanza jamaa anachokiona ni simu fastaaa anaaanza kuperuz..labda kama kanioa!
Ni kweli usemayo..haya mambo ni pasua kichwa tena sana tu! Mambo ya kuwekana wazi si mtawekana wazi kwa njia ya conversation sio kwa kupekuana kwenye simu..huyu nani? mbona huyu alikupigia asubuhi sana mlikuwa na nini? heeeeeh!??... Hii numba ya nani mbona ni ngeni kwenye phone book??....dah!
Today's Relationships: You can touch
each other, but not each other's phones.
Hii imekaaje?
Kuna kitu kinaitwa Privacy.... Ni muhimu saana kui-observe.
Kukataa kwa mpenzi wako kushika simu sio neccessarily kusema ana ku-cheat, yaweza kua mambo yaliyomo mengine confidential. Na tuache longo longo za kusema kila kitu ni kuambizana na kushare... Sio Kweli; everybody has some secrets za ku-guid.... Kuna mambo ya kazi, kuna mambo ya rafiki wa karibu, na mipango mingi, Mradi iyo simu isiwe ka yai kua hurusiwi hata kugusa kupiga simu incase yakwako ina kikwazo chochote.
Yeah! Why - Whats wrong with it?
I guess maybe I'm so out of touch with this marriage thing!
Naaah! I don't bliv you are that out of touch bana... Tell me labda nakosea somewhere...
Ashadii nisaidie ni mambo gani ambayo mwenza wangu tena wa ndoa hapaswi kuyajua?Yeah! Why - Whats wrong with it?
Hapana dada'angu hujakosea maana huo ndo mtazamo wako. Ila nashangaa tu maana inaelekea ni watu wengi sana katika jamii wanaoikubali hiyo dhana.
What the hell is privacy in a marriage? Mweh!
Yaani dhana ya kusema watu wasipekue pekue simu?
IMO, Logically speaking katika ndoa hapatakiwi pawe na Privacy! Maana you are one....
Realistically speaking hakuna kitu muhimu kama privacy katika ndoa. Kufuatiliana
kwa kuvuka mpaka, hupelekea suffocation, which may result to anger and inevitably hate.
At least that is my belief.... Privacy haihusishi tu simu, hata kumpa mtu breathing space
hasa hasa kama ndoa yenu ipo katika a "rut stage"
Ashadii nisaidie ni mambo gani ambayo mwenza wangu tena wa ndoa hapaswi kuyajua?
hahahaha.... Ngabu... What do you think?