Today's relationships

hahaha.... Dear naona yategemea na one's/couple's stand.... But IMHO...

  1. Mambo ya kazini ambayo Kampuni hairuhusu yajulikane.
  2. Mambo mengine ya kifamilia ni ya aibu e.g mjomba kabaka mdogo wako (God forbid)
  3. Kwamba kuna mwanaume/mwanamke mwingine wamkubali kuliko yeye spouse wako.
  4. Yaweza yakawepo mengine.... (but haya si yatosha B'?)
Na hito simu ninayokatalia asiishike ndo inakuwa na hayo mambo ya kazini eeh?

Halafu namku alije mwanaume mwingine kuliko mume wangu?/kivipi?
 
Okay, if memory serves me right, you are married.

Now, does your husband know if you are a member here? Is he a member too? If he is, do you know his user handle? Does he know yours?

My hubby is not a member... Na so tied up he rarely uses the net
apart from comm'Ngabu If my husband enters hapa....
And knows it is in fact ME (Na atajua tu!)

I don't know what to say.... Maybe niulize how do i handle what?
 
Asante kwa kujibu baadhi ya maswali yangu.
 
Na hito simu ninayokatalia asiishike ndo inakuwa na hayo mambo ya kazini eeh?

Halafu namku alije mwanaume mwingine kuliko mume wangu?/kivipi?

Kwenye bold nimeishia kucheka... Naona ninyoshe mikono juu!

Hapo kuhusu kumkubali mwanaume mwingine... Nina maana kua wanadamu wapishana... Naweza niwe na mume wangu na nampenda kabisa, BUT face the fact kua huyu mume wangu ana madhaifu kadhaa... Aidha mvivu, aidha hayuko focused, aidha ropo ropo, aidha sio mstaarabu AMA tabia zingine zozote zile. We do not live in isolation, twakutana na watu wengine huko ambao waweza ukawa uwapendi kimapenzi... But you acknoweledge kua he is a better man than your man. Sio kwamba wampenda ila tu you face the crude facts....
 
  • Thanks
Reactions: bht
sasa naenda ku acknowledge kwa mume wangu kuwa fulani ni bora kuliko wewe?
Anyway sijaelewa privacy inakujaje hapo hata mi naona ninyooshe mikono ...lol
 
sasa naenda ku acknowledge kwa mume wangu kuwa fulani ni bora kuliko wewe?
Anyway sijaelewa privacy inakujaje hapo hata mi naona ninyooshe mikono na niendelee tu nA vile nifanyavyo sasa...najiskia huru zaidi kuliko maisha ya kufichaficha
After all the most private 'thing' ndo nshamwachia sasa...

Umeongea la msingi saana... Ni kweli... Uliniuliza ni kitu gani mumeo inatikiwa asijue.... na hio ni moja wapo. Sikua na maana kua yatakiwa umwambie.. Ila tu tukubali kua "Trust" ndo msingi wa yooote. Ila tu labda iwe abused ndio uanza kufuatilia.... na kushika hizo simu... Maana kama woote mna simu - kuna sababu yoyote ya kuanza taka ya mwenzio nje ya kusema labada yako ipo unavailable? Otherwise labda uwe drived na suspicion.
 
Sababu za kushika simu ya mwenza zipo nyingi sana bila ya kuwa hakuna trust.

Labda yeye ana game nzuri mie sina na nataka kucheza. Au amenunua kitabu ambacho Mimi sina kwenye simu, au I'm just bored na simu yake ipo karibu nimeamua kuichezea tu.

Hii ya mwenza asiguse simu sikubaliani nayo hata punje. Kama hamuaminiani msingeoana maana hamkulazimishwa na mtu
 
  • Thanks
Reactions: bht
I feel like.... its not complete vile. Enways... Ngabu hope uko fully satisfied.

Well, like I always like to say, to each his own. I don't shit what I don't eat.

The idea of privacy in a marriage is absolutely ludicrous to me. I don't get it. I have never gotten it. And I will never get it.

But marriage is an arrangement of two people. However those two define theirs is all that matters.
 
Sababu za kushika simu ya mwenza zipo nyingi sana bila ya kuwa hakuna trust.

Labda yeye ana game nzuri mie sina na nataka kucheza. Au amenunua kitabu ambacho Mimi sina kwenye simu, au I'm just bored na simu yake ipo karibu nimeamua kuichezea tu.

Hii ya mwenza asiguse simu sikubaliani nayo hata punje. Kama hamuaminiani msingeoana maana hamkulazimishwa na mtu

Hapo juu yawezekana ni kweli kabisa... Na hio ni explanation yako Gaijin... But ukweli unabaki kua katika idadi kubwa ya wenza wanao shika simu - functions na services sio ambacho humfanya ashike simu rather ni the content ya hio simu kua ina kitu gani humo ndani na kutoka kwa nani...
 
Gee mimi naona mtazamo wako kama wangu kabisa, na hata kipindi cha nyuma watu tulivutana sana hapa hili suala la kushika simu na privacy kwenye ndoa au hata mahusiano, bado sijashawishika vinginevyo.
 
Hapo juu yawezekana ni kweli kabisa... Na hio ni explanation yako Gaijin... But ukweli unabaki kua katika idadi kubwa ya wenza wanao shika simu - functions na services sio ambacho humfanya ashike simu rather ni the content ya hio simu kua ina kitu gani humo ndani na kutoka kwa nani...

Umejuaje motives za baina ya wenza? Idadi kubwa ni wangapi?
 
Today,s relationships, could be the same with yesterdays's kama nao wangekuwa nazo hizo simu!.
 
Well, like I always like to say, to each his own. I don't shit what I don't eat.

The idea of privacy in a marriage is absolutely ludicrous to me. I don't get it. I have never gotten it. And I will never get it.

But marriage is an arrangement of two people. However those two define theirs is all that matters.

In blue... That's the beauty of it... Each has his/her belief.

In beige... EXACTLY Ngabu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom